1222. NDUGU WANE OSHINWA IKANZA ANDYAGA GUGALUCHA MADALA.

Ulusumo lunulo lulolile munhu uyo agakeleja gwipuna umulugendo lokwe. Umunhu ng’wunuyo, agang’wila ng’wiye igiki agwipuna diyu na gwandya gusiminza umulengo lokwe kugiki adule gushiga wangu, kunguno yalikule uko ojaga.

Aliyo lulu, uweyi agakeleja ugumisha mpaga wela ubhujiku atali alalile. Oho wela ung’wiye umisha bho gung’wila giki, atumile nzila yingi umulugendo lokwe iyo idulile gung’wanguhya ugushiga uko ojaga. Hunagwene agang’wila giki, “ndugu wane oshinzwa ikanza andyaga gugalucha madala.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli nimi uyo adabyedechije ugulima ahikanza lya gulima, aha kaya yakwe. Umunhu ng’wunuyo, agilendeja aho yandya ugutula mbula mpaga nowe lyubhita ilikanza linilo adina ngunda, kunguno ya wilendeja bhokwe. Uweyi agagayiwa ijiliwe aha kaya yakwe yiniyo, kunguno ya wilendeja bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agalala mpaga ukeleja ugwandya ulugendo lokwe, kunguno nuweyi agilendeja ugulima mpaga nose lyubhita ilikanza lya gulima adina ngunda. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “ndugu wane oshinzwa ikanza andyaga gugalucha madala.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka gwilendeja guja gujutumama milimo yabho, bho gwanguha chiza ulu lyashika ilikanza lyaho, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi umuwikaji bhobho.

Mhubiri 3:1.

Zakaria 10:1.

KISWAHILI: NDUGU YANGU UMEFINYWA MUDA ANZA KUGEUZA MBINU MBADALA.

Methali hiyo, huangalia mtu aliyechelewa kujilawa katika safari yake. Mtu huyo, alimwambia mwenzake kwamba, angedamuka asubuhi na kuanza safari yake, ili aweze kufika mapema alikokuwa akienda kwa sababu ilikuwa mbali.

Lakini basi, yeye alichelewa kuamuka mpaka mwishowe ikafika asubuhi bado amelala. Kulipokucha mwenzake alimwamusha kwa kumwambia kwamba, atumie njia mbadala itakayoweza kumfikisha mapema, katika safari yake hiyo. Ndiyo maana alimwambia kwamba, “ndugu yangu umefinywa muda anza kugeuza mbinu mbadala.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mkulima ambaye hakuweza kulima sehemu ya kutosha wakati wa kilimo, katika familia yake. Mtu huyo, alijisahamu kuanza kulima wakati ilipoanza mvua kunyesha mpaka mwishowe kipindi hicho kikapita bila kuwa na shamba, kwa sababu ya uchelewaji wake huo. Yeye alikosa chakula katika familia yake hiyo, kwa sababu ya kuchelewa kuanza kulima mpaka mwishowe wakati huo ukapita bila kuwa na shamba lolote, katika familia yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyelala mpaga akachelewa kuanza safari yake, kwa sababu naye alichelewa kulima mpaga mwishowe kipindi cha mvua kikapita bila kuwa na shamba lolote katika familia yake hiyo. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “ndugu yangu umefinywa muda anza kugeuza mbinu mbadala.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha uchelewaji wa kuanza kuyatekeleza majukumu yao, kwa kuwahi kuyaanza wakati unapofika wa kuzianza kazi hiyo, ili waweze kupata mafanikio mengi katika maisha yao.

Mhubiri 3:1.

Zakaria 10:1.

ENGLISH: MY RELATIVE, YOU ARE SQUEEZED BY TIME, START TO TURN ALTERNATIVE METHODS.

The overhead proverb looks at a person who is late to wake up early in the morning in his journey. This man told his colleague that he would wake up in the morning and start his journey, so that he could arrive early where he was going because it was far away.

But then, he was late to wake up until finally it was morning and he was still asleep. When it was morning, his companion woke him up by telling him that he should use an alternative route that would bring him earlier, in his journey. That is why he told him that, “My relative, you are squeezed by time, start to turn alternative methods.”

This proverb is equated to a farmer who could not cultivate enough land during farming time, in his family. Such man was late to start farming when it started raining until finally that period passed without having a field, because of his delay. He lacked food in his family, because of such delay in starting farming until finally the time passed without having any farm in his family.

This person resembles to the one who slept until he was late to start his journey, because he was also late in cultivating the field, and finally the rainy season passed without having any farm in his family. That is why people told him that, “My relative, you are squeezed by time, start to turn alternative methods.”

This proverb imparts in people an idea of stopping procrastinating in starting to carry out their duties, by starting them when the time comes to start them, so that they can achieve many successes in their lives.

Ecclesiastes 3:1.

Zechariah 10:1.

treatment africas

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.