1199. LIKI LIGUMOKAGA UMUNYASAMBA.

Igigela ndimu umunyasamba iyo yamokoka guti mbwa. Indimu yiniyo, abhanhu abhangi bhali bhadayimanile kunguno yalingeni ukumiso gabho. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagabhuja giki, “liki ligumokaga umunyasamba?”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agitaka bhukengeji bho gujibhebha ijigeni ukuli weyi, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agawitaga ubhukengeji bhunubho bho gubhugilija kubhanhu ijikolo ijo adajimanile, kunguno ya guchobha gujimana chiza. Uweyi agamanaga mihayo mingi noyi ubhutumami bho milimo yakwe yiniyo, kunguno ya gwita bhukengeji bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agabhuja libhujo lya guidema indimu iyo yamokaga umunyasamba, kunguno nuweyi agitaga bhukengeji bho guchola gujidebha ijo adajimanile, umukikalile kakwe kenako. Hunagwene agabhujaga giki, “liki lugumokaga umunyasamba?”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya gwita bhukengeji bho gujidebha ijo bhadajimanile, umubhutumami bhobho, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Zaburi 49:4-5.

KISWAHILI: NINI KINABWEKA HUMU NYASAMBA?

Alionekana myama poli mule Nyasamba aliyekuwa akibweka kama mbwa. Mnyama huyo, hakufahamika kwa watu wengi kwa sababu ya ugeni wake kwao. Ndiyo maana watu waliuliza kwamba, “nini kinabweka humu nyasamba?”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya utafiti wa kuvifahamu vitu vile ambavyo yeye havifahamu, katika maisha yake. Mtu huyo, hufanya utafiti wa kumwezesha kuvielewa vile ambavyo havifahamu, kwa sababu ya kutaka kuongeza ufahamu wake. Yeye hufanikiwa kuvielewa vitu vingi katika utekelezaji wa majukumu yake, kwa sababu ya kufanya utafiti huo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeluliza swali la kutaka kukifahamu kilichokuwa kinabheka mule Nyasamba, kwa sababu naye hufanya utafiti wa kuvifahamu vitu vile ambavyo havielewi, katika maisha yake. Ndiyo maana yeye huuliza kwamba, “nini kinabweka humu nyasamba.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kufanya utafiti wa kutosha kuvielewa vile ambavyo ahawavielewi, katika maisha yao, ili waweze kupata mali za kutosha kuyaendesha vizuri maisha yao.

Zaburi 49:4-5.

ENGLISH: WHAT IS BARKING HERE IN NYASAMBA?

There was a wild animal in Nyasamba which was barking like a dog. This animal was not known to many people because of its strangeness to them. That is why people asked that, “What is barking here in Nyasamba?”

This saying is equated to a person who does good research enough to understand things which he does not know, in his life. Such person does good research enough to enable him be aware of what he does not know, because he wants to increase his knowledge. He manages to know a good number of things in carrying out his duties, because of doing researches in his life.

This person resembles to the one who asked the question for knowing what was happening in Nyasamba, because he also does good research enough to understand things which he does not know, in his life. That is why he asks, “What is barking here in Nyasamba?”

This saying teaches people about doing good research enough to understand what they are not aware of, in their lives, so that they can get enough assets to run their lives well.

Psalm 49:4-5.

dog-199214__480

puppy-742628__480

dog-4252274__480

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.