Ulusumo lunulo, luhoyelile bhub’eji bho liwe. Ubhub’eji bhunubho bhugitwa na munhu uyo ulina nguzu ningi ija gudula gulib’inzagula iliwe linilo haho bhatali abhangi ugwiza. Uweyi agandya gugutumama unimo gunuyo mpaga ugumala wangu na bhushiga abhiye bhenabho. Hunagwene agabhawila aho bhashiga giki, “ng’wasanga lyab’elwa iliwe.”
Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo usabha majikolo mingi haho atali ugubyala abhana bhakwe, aha kaya yake yiniyo, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, wigulambijaga gutumama milimo yakwe mpaga opandika sabho ijo ojilanhanaga chiza, kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho. Uweyi agasabha majikolo mingi noyi aha kaya yakwe yiniyo haho atali ugupandika abhana, kunguno ya bhukamu bho gutumama milimo chiza bhunubho, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agalib’inzagula iliwe bho nguzu jakwe, haho bhatali abhiye ugwiza, kunguno nuweyi agigulambijaga gutumama milimo chiza mpaga osabha majikolo mingi haho atali ugubyala abhana aha kaya yakwe yiniyo. Hunagwene agabhawilaga abhana bhakwe giki, “ng’wasansa lyab’elwa iliwe.”
Ulusumo lunulo, lolanga bhabyaji higulya ya gwigulambija gutumama milimo ya gubhapandikila sabho ja gubhambilija abhana bhabho chiza, kugiki bhadule gwikala na bhuyeji umu kaya jabho.
Mwanzo 13:5-6.
Ayubu 1:1-5.
1Thimotheo 6:9-10.
KISWAHILI: MUMEKUTA JIWE LIMEVUNJWA.
Methali hiyo, huongelea juu ya uvunjaji wa jiwe. Uvunjaji huo, ulifanywa na mtu mmoja aliyekuwa na nguvu nyingi za kuweza kulivunja jiwe hilo kabla ya wengine kufika kwenye kazi hiyo. Yeye alianza kuifanya kazi hiyo mpaka akaimaliza haraka ndipo wakafika wenzake. Ndiyo maana yeye aliwaambia kwamba, “mumekuta jiwe limevunjwa.”
Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ametajirika kwa kupata mali nyingi kabla ya kupata watoto, kwenye familia yake, katika maisha yake. Mtu huyo, hujibidisha kufanya kazi vizuri mpaga onapata mali ambazo huzitunza vizuri, kwa sababu ya umakini wake huo. Yeye hutajirika kwa kupata mali nyingi sana kwenye familia yake kwa sababu ya bidii yake ya kufanya kazi, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule mtu mwenye nguvu aliyelipasua jiwe peke yake kabla wenzake hawajafika, kwa sababu naye hujibidisha kufanya kazi mpaka anapata mali nyingi, kabla ya kupata watoto katika familia yake. Ndiyo maana yeye huwaambia watoto wake kwamba, “mumekuta jiwe limevunjwa.”
Methali hiyo, hufundisha wazazi juu ya kujibidisha kufanya kazi zao vizuri mpaka wapate mali za kutoka kuwaachia watoto wao, ili waweze kuishi kwa furaha, katika familia zao.
Mwanzo 13:5-6.
Ayubu 1:1-5.
1Thimotheo 6:9-10.
ENGLISH: YOU FOUND THE STONE BROKEN.
This proverb speaks of breaking a stone. Such breaking was done by one person who had a lot of power to break it before others had arrived at the work. He started doing the work until he finished it quickly and then his colleagues arrived. That is why he told them that, “you have found the stone broken.”
This proverb is compared to a person who has become rich by getting a lot of wealth before having children, in his family. Such person tries to work well when he finds assets that he takes good care of, because of his attention. He becomes rich by getting a lot of wealth in his family because of his hard working activities, in his life.
This person is similar to the strong man who split the stone alone before his companions had arrived, because he also has to work until he gets a lot of wealth, before having children in his family. That is why he tells his children that, “you have found the stone broken.”
This proverb teaches parents to work hard in doing their jobs well until they have enough assets to leave to their children, so that they can live happily in their families.
Genesis 13:5-6.
Job 1:1-5.
1 Timothy 6:9-10.
