917. BHUPUGU BHUGABHOJAGA MHULI.

Bhalihoyi bhanhu bhab’ili abho bhali bhupugu. Abhanhu bhenabho, bhali Nkwaya na Nshigi abho bhilomelaga higulya ya mhuli iyo yaliyacha. Unkwaya agang’wila Unshigi giki, “ilelo yachaga Mhuli ukumongo.” Unshigi agashosha, “nduhu ulinilemba duhu iki dulibhupugu.”

Unkwaya agongeja, “naliguwila mhayo go nhana gete dugage dugabhone.” Unshigi agalema aliyomba, “nalemaga unene nadujaga, jaga duhu ub’eb’e koyi kunguno ulinilemba duhu.”

Unshigi ng’wunuyo agalema uguja ukumongo kunuko, nose imhuli yiniyo yubhola kunguno ya gwiganika giki, alimelwa nu npugu okwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “bhupugu bhugabhojaga mhuli.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatongejaga limela nu mihayo ya nhana, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunyo, agailemeja imihayo iyo agawilaga na bhiye kunguno ya gutongeja wimeji bhunubho, bhuli makanza. Uweyi agabhitagwa ni mihayo ya ng’hana kunguno ya gudilila limela linilo ilya gukilanija, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu wimeji bho nshigi ubho bhugabhoja mhuli, kunguno nuweyi agatongejaga limela lya gukilanija, umubhutumami bhokwe. Hungwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “bhupugu bhugabhojaga mhuli.”

 Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka gutongeja wimeji bho gukilanija nu mumihayo ya ng’hana, kugiki bhadule gwiyigwilija chiza imihayo iya ng’hana iyagujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Mithali 14:25.

Yohana 20:25.

Luka 21:16.

 

KISWAHLI: UTANI HUSABABISHA TEMBO KUOZA:-

Walikuwepo watu wawili waliokuwa watani. Watu hao walikuwa mkwaya na mshigi waliokuwa wakiongelea juu ya kifo cha tembo. Mkwaya alimwambia mshigi, “leo kuna tembo amekufa kule mtoni.” Mshigi alijibu, “hakuna unanidanganya tu kwa vile tuwatani.”

Mkwaya aliongeza, “nakuambia jambo la kweli, twende tukamuone.” Mshigi alikataa akisema, “mimi nimekataa nenda tu wewe huko kwa sababu unanidanganya tu.”

Mshigi alikataa kwenda kule mtoni mwishowe yule tembo alioza kwa sababu ya kutanguliza utani huo wa kupitiliza, kila wakati. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “utani husababisha tembo kuoza.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule anatanguliza utani wa kupitiliza hata kwenye maswala ya kweli, maishani mwake. Mtu huyo, huyakataa mambo ya kweli anayoambiwa na wenzake kwa sababu ya kutangulia utani huo, kila wakati. Yeye hupitwa na matukio ya kweli kwa sababu ya kujali utani wake huo uliopitiliza, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule mshigi aliyeukaata ukweli mpaka tembo akaoza, kwa sababu naye hutanguliza utani huo wa kupitiliza, mpaka anapitwa na mambo ya msingi, katika utendaji wake wa kazi. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “utani husababisha tembo kuoza.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha kutangulia utani wa kupitiliza kwenye mambo ya kweli, ili waweze kufikishiana vizuri ujumbe wa kuziletea maendeleo familia zao, maishani mwao.

 

Mithali 14:25. “Shahidi wa kweli huokoa maisha, bali shahidi wa uongo ni mdanganyifu.”

Yohana 20:25. “Hivyo wale wanafunzi wengine wakamwambia, ‘’Tumemwona Bwana.’’ Lakini yeye akawaambia, ‘‘Nisipoona zile alama za misumari mikononi mwake na kuweka kidole changu kwenye hizo alama za misumari na mkono wangu ubavuni Mwake, sitaamini.’’”

Luka 21:16. “Mtasalitiwa hata na wazazi, ndugu, jamaa na marafiki na baadhi yenu watawaua.”

elephant-1

african-3

ENGLISH: JOKES CAUSE THE ELEPHANT TO GET ROTTEN.

There were two people who were joking to each other. The people came from two different tribes namely: Kwaya and Shigi tribe. Traditionally members of these tribes make jokes to one another in their daily lives.

These two people were talking about the death of an elephant. A Mkwaya told Mshigi, “The elephant has died in the river just now.” A Mshigi replied, “No, you are lying to me just because we joke eath other.”

Mkwaya added, “I am telling you the truth, let’s go and see it.” Mshigi refused, saying, “I have refused to accepted your works because you are just cheating on me.”

Mshigi refused to go to the river and finally the elephant rotted because of the preceding joke, all the time. That is why people said that, “Jokes cause the elephant to get rotten.”

This proverb is compared to a man who introduces a joke to pass on even in real issues, in his life. This person, in turn, rejects the truth of what his fellows tell him because he always jokes about it. He is overwhelmed by real events because of caring for that extreme joke, in his life.

This person, in effect, resembles the one who perverts the truth until the elephant got rotten, because he also preaches that obscene joke, until he is overtaken by the basics, in his work performance. That is why people say to him, “Jokes cause the elephants to get rotten.”

This proverb instills in people an idea on how to stop making jokes while dealing with serious issues, so that they can better communicate the message that can bring development to their families.

Proverbs 14:25 “A true witness delivereth souls: but a deceitful witness speaketh lies.”

John 20:25 “The other disciples therefore said unto him, We have seen the Lord. But he said unto them, Except I shall see in his hands the print of the nails, and put my finger into the print of the nails, and thrust my hand into his side, I will not believe.”

Luke 21:16 “You will be betrayed even by your parents, relatives and friends and some of you will be killed.”

zanzibar-2

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.