915. UGUKOMEJAGA AHA JALALA ING’HANDYA!

Ing’handya ili noni iyo yili ndalanhanu gete. Ulu yulala yugagwa hasi igashokaga numa bho gukung’unha mumaswa, kugiki bhadume ugwibhona abhanishi bhayo. Abhanishi bhenabho, ulu bhandya guyikomeja aha yagwilaga bhadibhona.

Bhalihoyi bhanhu abho bhalingaga ng’handya. Umubhulingi bhobho bhunub’o, uumo oliadabhulagaga inhang’handya jinijo kunguno okolimejaga aho jagwilaga alihaya giki jitali hayo duhu. Gashinaga jingaga hoyi jugibhanda kungi, kugiki bhadume ugujibhona abhanishi bhajo.

Uungi nanghwe ozumalaga kunguno ojikomeja aha jalala inoni jinijo, aliganika giki jitali jilihoyi jingi ahenaho. Hunagwene  abhanhu bhagang’wila giki, “ugukomejaga aha jalala ing’handya!”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agicholelaga jiliwa ukunu alibhulang’hana chiza ubhupanga bhokwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga adebhile uko jili ijiliwa ni nzila ija gujichob’ela, kugiki bhadizudula ugundima abhanishi bhakwe. Uweyi agajipandikaga ijiliwa jakwe, bho gutumila nzila ijo jigang’wambilijaga ugubhulang’hana chiza ubhupanga bhokwe, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunyo, agikolaga ni ng’handya iyo igicholelaga jiliwa bho gubhib’isa abhanishi bhayo, kunguno nuweyi agipandilikaga ijiliwa jakwe, bho gutumila nzila ja gubhulanghana chiza ubhupanga bhokwe, umukikalile kakwe. Uweyi abhalangaga abhanhu bhakwe imilimo ya gwichob’ela jiliwa ukunu bhalibhulang’hala chiza ubhupanga bhobho. Hunagwene agabhawilaga abhiye abho bhadamanile ugwicholela ijiliwa jabho giki, “ugukomejaga aha jalala ing’handya!”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na masala ga gwichob’ela ijiliwa bho gubhulang’hana chiza ubhupanga bhobho, kugiki bhadule gwikala bhapanga, umuwikaji bhobho.

Mathayo 2:16’17.

Luka 24: 5-9.

Yohane 6: 14-15.

KISWAHILI: UNASAKA TOMBO PALE AMBAPO WAMERUKA!

Tombo ni ndege aliye mjanja kweli. Akiruka na kutua sehemu hurudi nyuma kwa kukimbilia miguu kwenye majani, ili maadui zake washindwe kumwona. Hivyo maadui zake hao, wakianza kumsaka pale alipotua hawatamwona.

Walikuwepo watu waliokuwa wakiwinda Tombo. Mmoja katika wawindaji hao alikuwa hafanikiwi kuwapata ndege hao kwa sababu ya kuwasakia pale walipotua, akifikiri kwamba bado wamebaki hapo tu. Kumbe wameondoka pale na kwenda kujificha sehemu nyingine ili maadue zao wasiwaone.

Mwingine naye hakuwa anawapata ndege hao kwa sababu ya kuwasakia pale walikoruka, akifikiri kwamba kuna wengine bado wamebakia hapo. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “unawasaka tombo pale ambapo wameruka!”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutafuta chakula huku akiulinda vizuri usalama wa uhai wake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa anafahamu kilipo chakula na njia za kukitafutia, ili adui zake wasiweze kumkamata. Yeye hujipatia chakula chake hicho kwa kutumia njia ambazo humsaidia katika kuulinda vizuri uhai wake. Yeye hupata chakula chake, kwa kutumia njia zinazoweza kumsaidia katika kuutunza ufalama wake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule Tombo aliyejitafutia chakula chake kwa kuulinda uhai wake, kwa sababu naye kujipatia chakula chake kwa kutumia njia za kuulinda uhai wake huo, katika maisha yake. Yeye huwafundisha pia wenzake namna ya kuyatekeleza majukumu yao huku wakiulinda vizuri uhai wao. Ndiyo maana huwaambia wale wasiofahamu kujitafutia chakula chao hicho kwamba, “unasaka Tombo pale ambapo wameruka!”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na akili za kujitafutia mahitaji yao yakiwemo yake ya chakula, kwa kuulinda vizuri uhai wao, ili waweze kuishi kwa usalama, maishani mwao.

Mathayo 2:16’17.

Luka 24: 5-9.

Yohane 6: 14-15.

quail-

bird-1

button-quail-

ENGLISH: YOU ARE LOOKING FOR A QUAIL WHERE THEY FLEW!

The quail is a truly cunning bird. This bird flows and lands somewhere and turns on the grass to its back place which is close to where it was before so that its enemies will not be able to see it. So its enemies, if they start looking for at the landing area will not see it.

There were people who were hunting the quail. One of the hunters had not been able to locate the birds because of hunting it where it landed, by thinking that such bird was still there. But it went to hide somewhere so that its enemies would not see it.

Another one did not find the birds because he was looking for it where they flew away, thinking that others were still there. That’s why people told him that, “you are looking for a quail where they flew!”

This proverb is likened to a man who seeks basic needs such as food, shelter and clothes while keeping his life safe. He knows where those basic needs are and how to find them, so that his enemies will not be able to catch him. He provides his family with food in this way by using the means that can help him to protect his life. He gets his basic needs by using methods that can help him in maintaining his safety, in life.

This person is like the Quail that sought its own food while protecting its life, because he also obtained his own basic needs through the means of protecting his life. He also teaches his colleagues on how to carry out their duties while protecting their lives. That’s why he tells those who don’t know how to safely find their own food that, “you are looking for a quail where they flew!”

This proverb teaches people on how to be self-sufficient by using safe way to them in seeking for their basic needs, to better protect their lives, so that they can live safely, in their own lives.

Matthew 2:16:16.

Luke 24: 5-9.

John 6: 14-15.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.