912. NG’OB’A ADAMENHELAGWA.

Ulusumo lunulo, lulolile b’umenhelwa bho ng’wa munhu. Ubhumenhelwa bhunubho, bhuli winhiwa bho jisambo guti: mbuli, ng’holo, ng’ombe na jingi ijo jikolile na jinijo.

Ijisambo jinijo, aginhiyagwa umunhu uyo okindaga bhulugu kunguno odulaga ugunhebha ung’wanishi okwe. Ung’wunuyo ali munhu uyo alinkali na hangi alinguzu, kunguno ulu oling’ob’a ni adadulile ugubhukinda ubhulugu bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “ng’ob’a adamenhelagwa.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo adumile ugutumama imilimo imitale, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agayogohaga imilimo yiniyo kunguno ya bhugokolo bhokwe ubho gutumama milimo. Uweyi adapandika ijiliwa aha kaya yakwe kunguno ya bhobha bhokwe ubho gutumama milimo bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, akikolaga nu ng’ob’a o guja kubhulugu uyo adalulile ugunhebha ung’wanishi okwe, kunguno nu weyi agayogohaga uguitumama imilimo imitale, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ng’ob’a adamenhelagwa.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka b’ob’a bho gutumama milimo yabho, kugiki bhadule gupandika sab’o ja gujilang’hanila chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Ufunuo 2:10.

Ufunuo 2: 26-28.

Ufunuo 3: 5, 12.

Ufunuo 21: 7-8.

2Thimetheo 4: 7-8.

 

KISWAHILI: MWOGA HAZAWADIWI.

Methali hiyo, huangalia uzawadiwaji wa mtu. Uzawadiwaji huo ni wa kupewa zawadi kama vile: mbuzi, kondoo, ng’ombe na vingine vingi vinavyofanana na hivyo.

Zawadi hizo, hupewa mtu yule ambaye ameshinda vita kwa sababu amemzidi nguvu adui yake. Huyo ni mtu jasiri na mwenye nguvu, kwa sababu kama angekuwa mwoga, asingeweza kuishinda vita hiyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, “mwoga hazawadiwi.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hawezi kufanya kazi zilizokubwa, katika maisha yake. Mtu huyo, huziogopa kazi hizo kwa sababu ya uvivu wake wa kufanya kazi. Yeye huwa hapati chakula cha kutosha nyumbani kwake kwa sababu ya woga wake huo wa kufanya kazi, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule mwoga wa kwenda kwenye vita asiyeweza kumshinda adui yake, kwa sababu naye huogopa kufanya kazi zilizokubwa, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mwoga hazawadiwi.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kuogoka kufanya kazi zao, ili waweze kujipatia mali za kuziendelezea vizuri familia zao, maishani mwao.

Ufunuo 2:10.

Ufunuo 2: 26-28.

Ufunuo 3: 5, 12.

Ufunuo 21: 7-8.

2Thimetheo 4: 7-8.

 

man---

 

boy crying

ENGLISH: A COWARD IS NOT REWARDED.

This proverb looks at the rewards of man who has done something which is good in a society. These rewards are gifts such as: goats, sheep, cattle and the like.

These gifts are given to a person who has won a battle because he has overcome his enemy. Such person is a brave one. On the hand, if he had been a coward, he would not have won the battle. That is why people say that “a coward is not rewarded.”

This proverb is equated to a man who cannot do great things, in his life. This man is afraid of doing hard jobs because of his laziness to work. He does not get enough food in his home because of his fear of working hard in life.

This man is resembled a coward man who escaped to go the war, because he too is afraid of doing great things, in his life. This is why people say to him that, “a coward is not rewarded.”

This proverb teaches people about being hard workers enough to finish their works, so that they can earn a living for their families.

Revelation 2:10.

Revelation 2: 26-28.

Revelation 3: 5, 12.

Revelation 21: 7-8

2 Timothy 4: 7-8

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.