911. GUTENG’WA NDELYA.

Ulusumo lunulo, lulolile witemi bho ndelya. Indelya gali matembe ga ng’ombe ayo guma. Uwitemi bho ndelya bhunubho, bhuli wituji bho tembe injumu jinijo ijo jigasadyaga kunguno ya bhutamu bhojo. Uwitemi bhunubho, bhugitagwa na bhayanda ulu bhaligusha. Uyo uteng’wa agusatya na gwiyangula guluta nang’hwe kugiki amaje shili. Hunagwene bhuli ng’wene agiligaga, “guteng’wa ndelya.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalembagwa mhayo omanija haho na haho igiki, gudigong’hana umhayo gunuyo. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga na witegeleja bho guidebha imihayo iya ng’hana ni ya bhulomolomo, umukikalile kakwe. Uweyi agabhalemeja bho kubhawila hape abhanhu abho bhagang’wilaga mihayo ya bhulomolomo yiniyo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na bhayanda abho bhiligaga ndelya ijo jalutagwa kubhoyi, kunguno nu weyi agabhamanijaga abhanhu abho bhagang’wilaga mihayo ya bhulomolomo, na gubhalemeja ulu bhalilomela, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agabhawilaga abhanhu bhenabho giki adatogilwe “guteng’wa ndelya.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja guyomba mihayo ya bhulomolomo umumahoya gabho, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umuwikaji bhobho.

1Thimotheo 6:20-21.

Yakobo 1:16-18.

2Petro 2: 1-3.

2Yohana 5:7-10.

Yeremia 9:2-5.

 

KISWAHILI: KUPIGWA KINYESI KIKAVU CHA NG’OMBE.

Methali hiyo, huangalia upiganaji wa kutumia kinyezi kikavu cha ng’ombe. Upinagaji huo, ni wa kuchukua kinyesi hicho na kumpigia mwingine kama jiwe. Wavulana hupenda kupigana kwa kutumia kinyesi hicho katika michezo yao. Anayepigwa hujisikia maumivu kidogo ambayo humtaka naye kulipa kisasi kwa kumpigia kinyezi hicho mwenzake. Ndiyo maana kila mmoja huwa hapendi “kupigwa kinyesi kikavu cha ng’ombe.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hugundua anapodangang’wa na wenzake, na kuwaambia ukweli watu hao waliomdanganya. Mtu huyo, huwa ana umakini wa kulibaini neno lililo la uongo, na lile lililo la ukweli. Yeye huwakataza kwa kuwaambia wazi wazi ukweli wale waliomweleza uongo huo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na wale wavulana waliokuwa wakikwepa kupigwa kinyesi kikavu cha ng’ombe kilichorushwa kwao na wenzao, kwa sababu naye huwakataza wale waliomwambia neno la uongo, maishani mwake. Ndiyo maana yeye huwaambia watu hao kwamba, hapendi “kupigwa kinyesi kikavu cha ng’ombe.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia ya kusema uongo, katika maongezi yao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao hao, maishani mwao.

1Thimotheo 6:20-21.

Yakobo 1:16-18.

2Petro 2: 1-3.

2Yohana 5:7-10.

Yeremia 9:2-5.

dance--

boy--

ENGLISH: TO BE BEATEN BY NDELYA (DRY COW DUNG).

This proverb focuses on a game of beating one another by using dry cow dung. In this game one takes dry cow dung and throws it at the other person like a stone. Boys like to beat each other by using it in their games. The victim feels pain that he/she wants him or her to react by blaming the other person. That is why everyone does not like “to be beaten by ndelya (dry cow dung).”

This proverb is related to a man who realizes when he is being deceived by his fellows enough to tell the truth to those people who deceived him. This person is careful enough to identify a word that is false, and that which is true. He forbids them by openly telling the truth to those who told him such lie, in his life.

This man resembles the boys who escaped the dry cow dung that was thrown at them by their fellows, because he also forbids those who tell him a false word, in his life. That is why he tells the people that he does not like “to be beaten by ndelya (dry cow dung).”

This proverb instills in people a clue on giving up the habit of lying, in their conversations, so that they can live in peace with their fellows, in their lives.

1 Timothy 6: 20-21.

James 1: 16-18.

2 Peter 2: 1-3.

2 John 5: 7-10.

Jeremiah 9: 2-5.

youth-

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.