908. UGUSIMBA NG’OB’O.

Imbuki ya lusumo lunulo, ilolile bhusimbi bho ng’ob’o. Ung’ob’o gugasimbagwa na shinu ijo jidujije ugugusimba kunguno ubhunubho, hu wib’isilo b’ojo, kugiki jidizub’onwa na bhanishi bhajo.

Kuyiniyo lulu, ishinu jinijo ulu jutung’wana na bhanishi bhajo bhenabho aho gulinduhu ung’ob’o ugo gwib’isila, jigahadikijaga nulu gusimba ng’ob’o ahenaho ahikanza linilo, kugiki judule gwib’isa. Hunagwene abhanishi bhajo bhenabho bhagajiwilaga giki, “ugusimba ng’ob’o.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agacholaga nzila ja gung’wingija amakoye gakwe, mpaga ojipandika, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agapandika makoye wiyumilija ugugamala bho gugatumila chiza amasala gakwe. Uweyi agadulaga ugugamala wangu makoye gagwe genayo kunguno ya gugatumila chiza amasala ayo alinago, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni shinu ijo jigasimbaga ng’ob’o gogwib’isila, ulu jatung’wanaga na bhanishi bhajo, kunguno nuweyi agagatumilaga chiza amasala gakwe bho guchola nzila ja gung’wingija amakoye ayo alinago, umukikalile kakwe. Uweyi agabhalanjaga abhanhu bhakwe ugugamala amakoye gabho bho gugatumila chiza amasala gabho. Hunagwene agabhawilaga giki, “ugusimba ng’ob’o.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gwilanga gugamala wangu amakoye gabho bho gugatumila chiza amasala gabho, kugiki bhadule gwikala na bhuyeji, umuwikaji bhobho.

Mathayo 10: 16 – 23.

Luka 22: 31 – 34.

Matendo ya mitume 21: 27 – 36.

 

KISWAHILI: UTACHIMBA PANGO.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia uchimbaji wa pango. Pango hilo, huchimbwa na wanyama wale walio na uwezo huo wa kulichimba kwa lengo la kujitengenezea sehemu ya kujificha ili maadui zao wasiweze kuwaona.

Kwa hiyo basi, wanyama hao wakikutana na hao maadui kwenye sehemu isiyo kuwa na pango lao, kujaribu hata kuchimba pango hilo, hapo walipo kwa haraka, ili waweze kupata sehemu ya kuwawezesha kujificha mbele ya macho ya adui zao hao. Ndiyo maana hao maadui zao huwaambia kwamba, “utachimba pango.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutafuta njia za kuyatatulia matatizo yake mpaka anazipata, katika maisha yake. Mtu huyo, hupata matatizo akayatatua kwa kutumia vizuri akili zake na kwa uvumilivu bila kukata tamaa. Yeye huweza kuyamaliza kwa haraka matatizo yake hayo kwa sababu ya kuzitumia vizuri akili alizo nazo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule mnyama aliyechimba pango la kujificha mbele ya macho ya adui zake, kwa sababu naye huzitumiza vizuri akili zake kwa kutafuta njia za kuyatatulia matatizo aliyo nayo, katika maisha yake. Yeye huwafundisha watu wake namna ya kuzitumia akili zao katika kuyatatua matatizo yao. Ndiyo maana huwaambia kwamba, “utachimba pango.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kujifunza kuyamaliza mapema matatizo yao kwa kutuzitumia vizuri akili zao, ili waweze kuishi kwa furaha maishani mwao.

Mathayo 10: 16 – 23.

Luka 22: 31 – 34.

Matendo ya mitume 21: 27 – 36.

dogs--

 

ENGLISH: YOU WILL DIG A CAVE.

An origin of this proverb looks at an excavation of a cave. This cave is dug by animals which have an ability to do so with an aim of making a hiding place for themselves from their enemies. It becomes a home for them.

Therefore, when these animals encounter with their enemies in a place that is outside of their cave, they even try to dig the cave in a hurry, so that they can find a hiding place from the eyes of their enemies. That is why their enemies tell them that, “you will dig a cave.”

This proverb is compared to a man who seeks ways to solve his problems until he finds them, in his life. This person solves problems by using his mind and patience without giving up. He can quickly get rid of them by making good use of his intellect, in his life.

This man resembles the animal that dag a cave to hide from the eyes of its enemies, because he also uses his mind wisely enough to find solutions to his problems in life. He teaches his people on how to wisely use their minds in solving their problems. That is why he tells them that, “You will dig a cave.”

This proverb teaches people on how to learn ways of solving their problems early by making good use of their minds, so that they can live happily in their lives.

Matthew 10: 16-23.

Luke 22: 31-34.

Acts 21: 27 – 36.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.