907. GULIKULILA LYA B’UB’ELE.

Ulusumo lunulo, luhoyelile higulya ya bhukuleji bho b’ub’ele. Ub’ub’ele bhunubho bhuli bhusiga ub’o bhuli b’udimu ugub’utula. Gashinaga lulu, ulu ub’ucha itula lya b’ub’ele managa igiki ob’uchaga nimo ndimu gete.

Ulidakilwa ub’ize ng’wiyumilija noyi kunguno ulu udiyumilijije mumho ugub’uleka mumasunga gabho ub’ub’ele bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagikomelejaga “gulikulila lya b’ub’ele.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo ob’uchaga nimo ndimu ogogusola makanza malimu ugugumala, umubhutumami bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agagutumama unimo gokwe gunuyo bho wiyumilija bhutale, kunguno ya bhudamu bhogo. Uweyi agigulambijaga gujugutumama mpaka ogumala kunguno ya wiyumilija bhokwe bhunubho, umubhutumami bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu ntuji o b’ub’ele uyo agatumilila makanza malihu ugugumala unimo gunuyo, kunguno nu weyi agatumamaga nimo ndimu bho makanza malihu ugugumala. Uweyi agabhalanjaga bhiye inzila ja guitumama imilimo imidamu yiniyo, mpaga bhayimala chiza. Hunagwene agabhawilaga giki bhikomeje “gulikula lya b’ub’ele.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gwiyumilija gutumama milimo yabho bho guyideb’a na guidilila chiza mpaga bhayimale, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umubhutumami bhobho.

Luka 15: 12 – 20.

Luka 14: 28 – 32.

 

KISWAHILI: KUTAYARISHA KUPURA UWELE.

Methali hiyo, huongelea juu ya utayarishaji wa kupura uwele. Uwele huo ni mtama ambayo ni mgumu kuupura. Kumbe basi, ukianza upuraji wa uwele elewa kwamba umeanza kazi ngumu kweli.

Unatakiwa uwe mvumilivu sana kwa sababu usipovumilia utauacha uwele huo kwenye makapi yake. Ndiyo maana watu huhimizana juu ya, “kuyarayisha kupura uwele.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ameanzisha kazi ngumu  inayochukua muda mrefu kuimaliza, katika utendaji wake. Mtu huyo, huitekeleza kazi yake hiyo, kwa uvumilivu mkubwa, kwa sababu ya ugumu wake. Yeye hujibidisha kuitekeleza kazi hiyo mpaga kuimaliza kwa sababu ya uvumilivu wake huo, katika kazi yake.

Mtu huyo, hufanana na mpuraji wa uwele aliyetumia muda mrefu kuimaliza kazi yake hiyo, kwa sababu naye hufanya kazi ngumu ichukuayo muda mrefu kuimaliza. Yeye huwafundisha wenzake namna ya kuzitekeleza kazi hizo ngumu mpaka kuzimaliza vizuri. Ndiyo maana huwaambia kwamba wajibidishe, “kutayarisha kupura uwele.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuvumilia katika kuzitekeleza kazi zao kwa kuzielewa na kuzijali vizuri mpaka kuzimaliza, ili waweze kupata mafanikio mengi zaidi, katika utendaji wao wa kazi.

Luka 15: 12 – 20.

Luka 14: 28 – 32.

 

sorghum-

ENGLISH: TO PREPARE TO BEAT SORGHUM.

This proverb speaks of preparation of beating sorghum in order to remove them from their chaffs. Sorghum is a kind of millet which is hard to beat enough to separate it from its chaffs. However, when you start beating it, realize that you have begun to do real a hard work.

You have to be very patient because if you do not, you will leave that sorghum in its chaffs. That is why people tell each other that you have, “to prepare to beat sorghum.”

This proverb is equated to a man who has started a difficult task that takes a long time to complete, in his performance. Such person does his task, with great patience, because of his difficulty. He works hard to finish his works because of his perseverance, in his work.

This man is like the one a did a hard work of removing sorghum from chaffs by beating them for a long time in finishing his work, because he also does a lot of hard works that take a long time to finish. He teaches his fellows on how to carry out these difficult tasks until they complete them well. That is why he tells them to work hard by saying that they have, “to prepare to beat sorghum.”

This proverb instills in people an idea on having perseverance in carrying out their tasks by understanding them and taking good care of them until they finished them, so that they can find more success, in their works.

Luke 15: 12-20.

Luke 14: 28-32.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.