906. UGUJIB’ONA IJI JIYICHA NDAMHALA YA GULUMADI MLINTI.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile gulumadi. Igulumadi jilijisumva ijo jidalinhaga umumanti nulu hado. Ijoyi jigakalaga hasi bhuli makanza. Kwa yiniyo lulu, jigab’izaga kuti jichia na ginhu umu linti. Hunagwene abhanhu bhagihugulaga bho gwiwila giki, “ugujib’ona iji jiyicha ndamhala ya gulumadi mlinti.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo olina nhungwa ja bhub’i ijo jigang’wenheleja kupandika makoye, na ujileka, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, oliadalendaga ahaka yakwe, kunguno wikalaga uyunga sagala ukunu alikorosha bhanhu. Uweyi nose agading’wa ulipishiwa majikolo mingi, ayo gagang’wenheleja gujipambuka bho gulekana najo inhungwa ijabhubi jinijo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni gulumadi iyo igikalaga hasi bho nduhu ugulinha umulinti nulu hado, kunguno nu weyi wikalaga na nungwa ja bhub’i ijo jigang’wenheleja kupandika makoye matale naujileka, umuwikaji bhokwe. Uweyi agabhalangaga abhanhu bhakwe inzila ja guyileka iyabhubhi bho gwikala na nhungwa ja wiza. Hunagwene agabhahugulaga bho gubhawila giki, “ugujib’ona iji jiyicha ndamhala ya gulumadi mlinti.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kulekana na nhungwa ja bhub’i bho gujikalana ijo jilijawiza, kugiki bhadule kujilanghana na kujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Zaburi 1: 1-6.

Mithali 4: 24 – 27.

Mithali 15: 9 – 10.

Luka 10: 13 – 16.

Zaburi 95: 8 – 9.

KISWAHILI: UTAKIONA KILICHOMTEREMUSHA MZEE KOBE MTINI.

Chanzo cha msemo huo, chamwangalia Kobe. Kobe ni kiumbe ambaye hupandi mtini hata kidogo. Yeye huishi chini muda wote. Kwa hiyo basi, yeye huonekana kama alishushwa mtini na kitu fulani. Ndiyo maana watu huonyana kwa kuambiana kwamba, “utakiona kilichomteremusha mzee Kobe mtini.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aliyekuwa na tabia mbaya ambayo ilimsababishia kupata matatizo makubwa, ndipo akaachana nayo, katika maisha yake. Mtu huyo, alikuwa hatulii nyumbani kwake kwa sababu ya kudhurura hovyo huku akichokoza watu. Mwishowe alikamatwa na kulipishwa faini ya mali nyingi ambayo iliyomulazimisha kuachana na tabia hiyo mbaya, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule mzee Kobe ambaye huishi chini bila kupanda mtini hata kidogo, kwa sababu naye alikuwa na tabia mbaya iliyomsababishia kupata matatizo makubwa, ndipo akaachana nayo, katika maisha yake. Yeye huwafundisha wenzake njia za kuachana na tabia hizo mbaya. Ndiyo maana huwaonya kwa kuwaambia kwamba, “utakiona kilichomteremusha mzee Kobe mtini.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia mbaya kwa kuziishi zile zilizo njema, ili waweze kuzilinda na kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Zaburi 1: 1-6.

Mithali 4: 24 – 27.

Mithali 15: 9 – 10.

Luka 10: 13 – 16.

Zaburi 95: 8 – 9.

turtle-

giant-tortoises-

giant-tortoises-1

ENGLISH: YOU WILL SEE WHAT BROUGHT DOWN THE ELDER TORTOISE FROM THE TREE.

This saying looks at the life a Tortoise. A tortoise is a creature that does not climb trees at all. It lives on the ground all the time. So then, it looks like that it was brought down from the tree by something which is dangerous. That is why people warn each other by saying that, “you will see what brought down the elder tortoise from the tree.”

This saying is compared to a man who had an evil habit that caused him to suffer great problems to extent of giving up in his life. Such man was unsettled in his home because of his violent temper to people. He normally provoked his societal members. He was eventually arrested and fined a large sum of money that forced him to give up his immoral lifestyle.

This man is like the elder tortoise which lived on the ground without climbing a tree at all, because he also had evil habits that caused him to get into serious trouble to the point of stopping it in his life. He teaches his fellows on how to stop from having evil habits in life. That is why he warns them by saying that, “you will see what brought down the elder tortoise from the tree.”

This saying instills in people an idea of stopping evil habits by cultivating the good ones in their societies, so that they can well protect and develop their families in their lives.

Psalm 1: 1-6.

Proverbs 4: 24-27.

Proverbs 15: 9-10.

Luke 10: 13-16.

Psalm 95: 8-9.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.