909. GWIZA B’U KASHINJE.

Ulusumo lunulo, lulolile Kashinje. Ukashinjje ali munhu uyo obyalwa b’o gwiza atonjije maguli. Umunhu ng’wunuyo, wiza jigongwa numa shiniko, numo bhagabyalilagwa abhana. Gashinaga  lulu, nulu mhayo ulugwiza jigongwa numa giko, abhanhu bhagayombaga giki “gwiza b’u Kashinje.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agayombaga mhayo bho gusinjija jinagwigugondya, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adayigololaga chiza imihayo iyo agayiyombaga, umumahoya gakwe. Uweyi agabhadijaga abhiye ugubhudebha ubhung’hana bho mihayo yakwe yiniyo, kunguno ya gukija gokwe uguyiyomba hape, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu Kashinje uyo obyalwa bho gutonja magulu, kunguno nu weyi agayombaga mihayo bho guyigondya gondya, umumahoya gakwe. Uweyi ulu uyomba mhayo, abhiye bhagakoyaga ugugumana wangu. Hunagwene bhayombaga giki, “gwiza b’u Kashinje.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gwilanga guyiyomba hape imihayo bho nduhu uguigondya, umumahoya gabho, kugiki bhadule gujilela na gujilang’hana chiza, ikaya jabho.

Mathayo 28: 11 – 15.

Mithali 8: 6-9.

Matendo ya Mitume 2:29-36.

Luka 23: 1- 5.

KISWAHILI: LIMEKUJA KIKASHINJE.

Methali hiyo, huangalia Kashinje. Kashinje ni mtu aliyezaliwa kwa kuja akiwa ametanguliza miguu. Mtu huyo, huja kinyume hivyo na kawaida ya kuzaliwa mtoto. Kumbe basi, hata neno likija kinyume hivyo, watu husema kwamba “limekuja kikashinje.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huongea neno kwa kuzunguka bila kusema wazi, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hanyoshi maneno anayoyasungumza. Yeye huwachelewesha wenzake kuuelewa ukweli wa maneno yake, kwa sababu ya kutokuyasema wazi maneno yake hayo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na Kashinje aliyezaliwa kwa kutanguliza miguu, kwa sababu naye huongea maneno kwa kuzunguka, katika maongezi yake. Yeye akiongea jambo, wenzake hupata shida kulielewa upesi. Ndiyo maana husema kwamba, “limekuja kikashinje.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kujifunza kuongea wazi kwa kuyanyosha vizuri maneno katika maongezi yao, ili waweze kuzilinda na kuzilea vizuri, familia zao.

Mathayo 28: 11 – 15.

Mithali 8: 6-9.

Matendo ya Mitume 2:29-36.

Luka 23: 1- 5.

african-2

baby-girl-

women----

ENGLISH: IT HAS COME IN KASHINJE’S STYLE.

This proverb looks at a name ‘Kashinje’. Kashinje is name which is given to a person who was born by starting with feet first. This person came in an opposite direction from the normal birth of a child. So, even if the word comes in the opposite direction, people say that “It has come in Kashinje’s style.”

This proverb is related to a man who speaks a word around without speaking clearly, in his life. This person, in turn, does not stretch out his words. He delays his colleagues’ understanding of the truth of his words, because he does not speak them clearly in his life.

This person, in turn, resembles Kashinje born with legs first, because he also speaks words in a spherical motion. As he speaks, his colleagues find it difficult to understand. That is why they say, “It has come in Kashinje’s style.”

This proverb imparts in people an ideo on how to learn to speak clearly by stretching words in their speech, so that they can protect and nurture their families.

Matthew 28: 11-15.

Proverbs 8: 6-9

Acts 2: 29-36.

Luke 23: 1-5.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.