893. B’AGASHOKA B’ALUB’I.


Imbuki ya lusumo lunulo ilolile malub’i. Amalub’i jilinungu ijo jib’umbilwe na gulekwa duhu bho nduhu ugujitima. Giko lulu, ulub’iza b’aguji b’a nungu b’usanga jidatimile chiniko, ulu bhubhujiwa giki ali nungu ng’wajileka bhuli? Abhoyi bagushosaha giki ‘dasanga malub’i duhu jidinating’wa.’ Hunagwene bhagayombaga giki, “B’agashoka b’alub’i.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumama milimo yakwe bho nduhu uguimalija, umubhutumami bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agayigelejaga bhunagi imilimo iyo agayandyaga guitumama, umukikalile kakwe. Uweyi agikalaga ukoyiwa na nzala akaya yakwe, kunguno ya bhutumami bhokwe bhunubho ubho guigeleja bhunagi imilimo yakwe, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na bhabhumbi ba malub’i, abho bhagabhumba nungu bhukija ugujitima, kunguno nuweyi agaigelejaga bhunagi imilimo yakwe, umutumami bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu abho bhagayigaiwa imilimo yakwe, “b’agashoka b’alub’i.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuitumama imilimo yabho bho guishikilija chiza, kugiki bhadule gupandika sabho ja gubhambilija ujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Mathayo 7:21-23.

Yohana 6: 60-71.

Mathayo 7: 24-29.

 

KISWAHILI: WALIRUDI PASIPO KUKAMILIKA.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia vyungu. Vyungu hivyo ni vile ambavyo vilivinyangwa na kuachwa tu bila kutiwa motoni. Hivyo wakija wanunuzi wa vyungu hivyo na kuvikuta havijatiwa motoni hivyo, wakiulizwa, kuwa ‘mbona vyungu mmeviacha?’ Wao watajibu kwa kusema kwamba, “havijakamiklishwa.” Ndiyo maana watu husema kwamba, “walirudi pasipo kukamilika.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi zake bila kuzikamilisha, katika utendaji wake wa kazi. Mtu huyo, huzianza kazi zake na kuziachia njiani kwa kuzitelekeza, katika maisha yake. Yeye husumbuliwa mara kwa mara na tatizo la kukosa chakula katika familia yake, kwa sababu ya utendaji wake huo wa kufanya kazi nusu bila kuzimaliza, maishani mwake.

Mtu huyo hufanana na wale wafinyanzi wa vyungu waliofinyangwa tu na kuviachwa bila kuvitia motoni, kwa sababu naye hufanya kazi bila kuzikamilisha katika utendaji wake wa kazi. Ndiyo maana watu waliohitaji kazi hizo, “walirudi pasipo kukamilika.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuyatekeleza kwa ukamilifu majukumu yao wanayoaanzisha, ili waweze kupata mafanikio ya mali za kuwasaidia katika kuziendeleza vizuri familia, maishani mwao.

Mathayo 7:21-23.

Yohana 6: 60-71.

Mathayo 7: 24-29.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.