894. BHUCHOJI BHO LUNDU MU MAB’UGA.

Imbuki ya lusumo lunulo, ihoyelile higulya ya Lundu. Ilundu lililikubhi ilo ligalandalaga giti malando iki ligazwaga  mumab’uga. Ulu giki munhu ub’ita moyi akomile gugwashiwa  umumagulu gakwe nulu gugwishiwa hasi, kunguno ya witunganye bholyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “bhuchoji bho lundu mu mab’uga.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga uchola mihayo mu makaya ga bhanhu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agingaga aha kaya yake oja alichola mihayo bho gwingila umukaya ja bhiye na gubhalisanya abhiye bhenabho, kunguno ya wikobya bhokwe bhunubho. Uweyi agidumaga na bhazenganwa bhakwe kunguno ya b’uchoji bho mihayo bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, akikolaga ni lundu iki nayo igabhagwasanyaga abhanhu, kunguno nuweyi agacholaga mihayo bho gwingila mukaya ja bhanhu na gubhalisanya, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, alina “bhuchoji bho lundu mu mab’uga.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja guchola mihayo ya gulisanya bhanhu, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Luka 22: 3-6.

Mithali 21: 28-29.

 

KISHAHILI: UTAFUTAJI WA JAMII YA MALAMBO MBUBANI.

Chanzo cha methali hiyo, chaongelea juu ya Lundu ambayo majani ya jamii ya malando ya mbugani. Jamii hiyo ya malambo ni mboga ambayo huota kwenye mbuga. Mtu akipita humo yaweza kumfunga kwenye miguu yake hata kumwangusha chini, kwa sababu ya kufungamana kwake. Ndiyo maana watu huyaita kwamba ni, “utafutaji wa jamii ya malando mbugani.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutafuta maneno ya ugonvi kwenye familia za watu, katika maisha yake. Mtu huyo, hutoka kwenye familia yake na kwenda kutafuta maneno hayo kwa kuingia kwenye familia za wenzake na kuwagombanisha kwa sababu ya ukolofi wake huo. Yeye hukosana na wenzake kwa sababu ya utafutaji wake huo wa maneno ya kugombanisha watu, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na jamii hiyo ya malando yanayofunga miguu ya watu, kwa sababu naye hutafuta maneno ya kugombanishwa watu, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba ana “utafutaji wa jamii ya malando mbugani.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia za kutafuta maneno ya kuchonganisha watu, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, maishani mwao.

Luka 22: 3-6.

Mithali 21: 28-29.

modelo-mocambicana-1

 

sweet-potato-2

 

ENGLISH: THE SEARCH FOR THE POTATO LEAVES COMMUNITY IN THE PARK.

The foundation of the above proverb speaks of ‘Lundu’ which is a kind of potato leaves. This species is a vegetable that grows in parks. These leaves can bind feet of the person who passes through those parks to the point of pulling him/her down to the ground, because of their tightness. That is why people call it “the search for the potato leaves community in the park.”

This proverb is related to a man who seeks out violent words that disintegrate people’s families, in his life. This man leaves his family, by entering through various families of his fellows and arguing with them because of his cruelty. He continues losing his teammates because of his quest for controversial words, in his life.

This person, in effect, resembles that potato leave community that bound the feet of the person who passed in the parks, because he also seeks out words for quarreling with people, in his life. That is why people tell him that he has “the search for the potato leaves community in the park.”

This proverb instills in people a clue on stopping the habit of looking for words that do away with families of their fellows, so that they can live in peace with each other, in their lives.

Luke 22: 3-6.

Proverbs 21: 28-29.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.