892. SHINGILIMA YENIYO ILI NG’HANJO NDITO.

Ishingilima guli nigo ndito go likujo ili ligenhagwa na bhupandiki bho ng’wa munhu. Olihoyi munhu uyo oli msabhi o jikolo aha ng’wakwe. Umunhu ng’wunuyo, oliokumuka nguno ya bhupandiki bhokwe bhunubho, ubho sabho ningi ijo olinajo, umuwikaji bhokwe.

Ubhusabhi bhokwe bhunubho, bholenganijiyagwa na ng’hanjo iyo ili ndito uguizwala. Hunagwene abhanhu bhang’wilaga giki, “shingilima yeniyo ili ng’hanjo ndito.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agigulambijaga kutumama milimo yakwe chiza mpaga opandika sabho ningi, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agalimaga migunda mitale iyo yigampandikilaga sabho ja gudula gung’wambilija, umuwikaji bhokwe. Uweyi apandikaga ikujo ukubhanhu kunguno ya bhupandiki bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu nsabhi uyo jigang’wenhela ikujo ukubhanhu isabho jakwe, kunguno nu weyi agigulambijaga gutumama milimo yakwe chiza mpaga opandika sabho ijo jigang’wenhelaga ikujo ubhabhanhu bhakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “shingilima yeniyo ili ng’hanjo ndito.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gwigulambija gutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gupandika sabho ja gubhambilija chiza, umuwikaji bhobho.

Waroma 12: 11.

Mithali 28: 19-20.

Mithali 31: 10-21.

 

KISWAHILI: HESHIMA HIYO NI KANZU NZITO.

Heshima ni mzigo wa kuheshimiwa na watu inayotokana na mafanikio yake mtu huyo. Alikuwepo mtu mmoja aliyekuwa tajiri wa vitu vingi. Mtu huyo, alisifika sana kwa sababu ya mafanikio yake hayo ya mali, katika maisha yake.

Utajiri wake huo, ulifananishwa na kanzu nzito ambayo huweza hata kumsumbua mvaaji wake. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “heshima hiyo ni kanzu nzito.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujibidisha kuyatekeleza vizuri majukumu yake mpaga anapata mali nyingi, katika maisha yake. Mtu huyo, hulima mashamba makubwa ambayo humpatia mali za kutosha kumsaidia katika maisha yake. Yeye hupata heshima kwa watu kwa sababu ya mafanikio yake hayo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule tajiri aliyeheshimiwa na watu kutokana na mafanikio yake hayo ya  mali, kwa sababu naye hujibidisha kuyatekeleza vizuri majukumu yake, ambayo humpatatia mali zinazomletea heshima kwa watu wake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “heshima hiyo ni kanzu nzito.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi zao vizuri, ili waweze kupata mali za kuwasaidia katika kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Waroma 12: 11.

Mithali 28: 19-20.

Mithali 31: 10-21.

inhambane-

log-boat-

ENGLISH: THAT HONOR IS A HEAVY COAT.

Respect is a responsibility to be respected by the people that is based on the person’s success. There was one man who was rich in many things. This man was well-known for his material achievements.

His wealth, however, was likened to a heavy coat that could even irritate his wearer. That is why people said to him, “that honor is a heavy coat.”

This proverb is equated to a man who strives to live his life in a way that pleases him. This man cultivates large plots of land that provide him with enough resources to support himself. He earns the respect of the people because of his success, in his life.

This man is like the rich man who was respected by the people for his wealth, because he also strives to carry out his duties, which give him wealth that brings honor to his people. That is why people say to him, “that honor is a heavy coat.”

This proverb teaches people about working hard in doing their jobs well, so that they can have resources to help them develop their families, in their lives.

Romans 12:11.

Proverbs 28: 19-20.

Proverbs 31: 10-21.

mozambique-1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.