IBodo ili noni iyo iganyelaga igi limo niyo ha ng´wape duhu. Inoni yiniyo, igapandika ikoye lya gugayiwa ng’wana ku likanza lyoselyose kunguno ulu ligatobholwa iligi lyenilo munho nawagayiyagwa. Iyoyi hangi nulu igatulila ung´wana ng´wenuyo iki ali umo duhu ulu ucha munho nawagayiyagwa. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “Bodo wigi limo.”
Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adamanile gulang’hana jikolo jakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, apandikaga jikolo jigehu ijo igajilekanijaga mpaga jajimila, nulu jashila sagala, kunguno ya gukija ugwiganika chiza nzila ja gujilang’hanila ijikolo jinijo. Uweyi agagayiyagwa isabho kunguno ya gugayiwa ilisala lya gujilang’hanila chiza isabho jakwe jinijo, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni bodo iyo idinisala lya kujilang’hanila ijikolo jayo, kunguno nuweyi adiganikaga amasala gagujilang’hanila chiza isabho jakwe, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “Bodo wigi limo.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gub’iza na masala ga gujilang’hanila chiza ijikolo jabho, kugiki bhadule gujitumila kulikanza lilihu gugamalila amakoye gabho, umuwikaji bhobho.
Mithali 10:1.
Mithali 14:1.
Mathayo 7:26-27.
Luka 20:14.
KISWAHILI: BODO WA YAI MOJA.
Bodo ni ndege ambaye hutaga yai moja tu tena peupe. Ndege huyo, hukumbwa na tatizo la kukosa mtoto kwa sababu kama likivunjwa hilo yai ndiyo kusema kwamba atakosa. Hata kama akiangua mtoto huyo kwa vile ni mmoja tu akifa, yeye hukosa. Ndiyo maana watu husema kwamba, “Bodo wa yai moja.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye haelewi kutunza vitu vyake, katika maisha yake. Mtu huyo, hupata mali kidogo ambayo huitelekeza mpaka ikaisha hovyo, kwa sababu ya kutofikiri vizuri juu ya utunzaji wa mali hiyo. Yeye hukosa mali kwa sababu ya kukosa akili ya kuzitunzia vizuri mali hizo, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na Bodo alisiyekuwa na akili ya kutunzia mali yake, kwa sababu naye huwa hafikilii akili ya kutunzia vizuri mali yake, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humuita kwamba ni “Bodo wa yai moja.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na akili ya kuzitunzia vizuri mali zao, ili waweze kuzitumia kwa muda mrefu katika kutatua matatizo yao, maishani mwao.
Mithali 10:1. “Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, lakini mwana mpumbavu huleta huzuni kwa mama yake.”
Mithali 14:1. “Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, bali mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.”
Mathayo 7:26-27. “Naye kila anayesikia haya maneno yangu wala asiyatende, ni kama mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga. Mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, nao upepo ukavuma ukaipiga hiyo nyumba, nayo ikaanguka kwa kishindo kikubwa.”
Luka 20:14. “Lakini wale wakulima waliokodisha shamba walipomwona wakasemezana wao kwa wao na kusema, ‘Huyu ndiye mrithi, basi na tumwue ili urithi uwe wetu.’”
ENGLISH: ONE EGG BODO [SMALL BIRD].
A bodo is a small bird that lays only one egg. Such bird has a problem of missing a baby because if her egg is broken means that, she will miss. Even if she loses the child because only one dies, she is also going to miss. That is why people call such bird that, a “One egg bodo [small bird].”
This saying is likened to a person who does not understand how to take care of his belongings, in his life. Such person acquires a small amount of property that he or she abandons until it ends up, because of a lack of good judgment. He/she loses property because of lacking wisdom for taking good care of it, in lifetime.
This person, resembles a small bird ‘Bodo’ that did not have mind for taking care of her baby, because he/she also does not have good mind for taking care of property, in life. That is why people call him/her that a, “One egg bodo [small bird].”
This saying, teaches people on how to have good mind enough to take care of their possessions, so that they can use them for solving their problems, in their lives.
Proverbs 10: 1. “A wise son brings joy to his father, but a foolish son brings grief to his mother.”
Proverbs 14: 1. “The wise woman builds her house, but the foolish one tears it down with her own hands.”
Matthew 7: 26-27 And every one that heard these sayings of mine, and does them not, shall be likened unto a foolish man, which built his house upon the sand: And the rain poured down and the floods came and the winds blew and lashed against that house, and it caved in, and its collapse was great. ”
Luke 20:14 “But when the tenants saw him, they said to one another, ‘This is the heir; let us kill him, that the inheritance may be ours.'”