873. LYA MACHA NYAU.

Akahayile kenako, kalilola wichobheji bho Nyau mpaka yugacha. Inyau igicholelaga ijiliwa jayo bho bhukungiji bhutale ubho bhuli kihamo na gwikindika kugiki idule gujisanganija ijo ilihayo gujibhulaga. Kuyiniyo lulu, ugushiga mpaga yugacha, mumho yatumamaga nimo ntale. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “lwa macha myau.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumama milimo bho gwandya diyu mpaga ilimi lyugagwa, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo alinkamu noyi uguitumama milimo yakwe kunguno agaitumamaga bho pye ilikanza ilya limi. Uweyi agapandikaga sabho ningi noyi ahakaya yake, kunguno ya wigulambija bhokwe bhunubho ubho guitumama imilimo gufumile dilu mpaga lyugagwa Ilimi, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga ni nyau iyo igatumama nimo ntale, kunguno nu weyi, agatumama milimo yakwe bho gwingile dilu mpaga lyugagwa Ilimi, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “lwa macha nyau.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwigulambija gujilanija ni likanza lya limo umubhutumami bho milimo yabho bho nduhu ugulibhitilija ilikanza, kugiki bhadule gupandika sabho ja gutumamila ijina gujibheja chiza, ikaya jabho.

Waloma 15:1.

Mathayo 14:14-15,

KISWAHILI: LA KUFA PAKA.

Msemo huo, huangalia ujitafutiaji wa paka mpaka kufa kwake. Paka hujitafutia chakula chake kwa umakini mkubwa ikiwa ni pamoja na kujirusha kwa lengo la kumshutukiza yule anayetaka kumuua. Kwa hiyo basi, kufikia mpaka hatua kufa, humanisha uwepo kwa kazi kubwa. Ndiyo maana watu husema kwamba, “la kufa paka.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi zake kuanzia asubuhi mpaka jioni, katika maisha yake. Mtu huyo, ana bidii kubwa sana ya kuyatekeleza majukumu yake yakiwemo yale ya kulima kwa sababu ya yeye kufanya kazi tangia asubuhi hadi jioni. Yeye hupata mali nyingi sana kwenye familia yake, kwa sababu ya kujibidisha kwake kuyatekeleza majukumu yake, muda wote wenye mwanga wa Jua, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule paka aliyefanya kazi kubwa ya kujitafutia mahitaji yake, kwa sababu naye huyatelekeza majukumu yake kuanzia asubuhi hadi jioni, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “la kufa paka.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuendana na mwanga wa Jua katika utekelezaji wa majukumu yao bila ukupitiliza, ili waweze kupata mali za kutumia katika kuziendeleza vizuri familia zao.

Waloma 15:1.

Mathayo 14:14-15.

ethiopia1

africa-11

burundi-1

ENGLISH: IT IS OF DYING CAT.

This saying looks at a cat that hunts for itself until its death enough to get food. This Cat searches for food with the utmost seriousness, including self-mutilation, with the intention of shocking the victim. It does so to the point of dying for making sure that it gets food. That is why people say, “It is of dying cat.”

This saying is applied to a man who performs his duties from morning till evening, in his life. This man is very diligent in carrying out his responsibilities, such as farming because of his hard work from morning till evening. He gets a lot of wealth for his family, because of his being serious hard working enough to carry out his responsibilities all the time, in his life.

This man resembles the cat that worked hard enough to get its food, because he too fulfills his responsibilities from morning till evening, throughout his life. That is why people say to him that, “it is of dying cat.”

This saying instills in people a clue on how to work hard enough to carry out their responsibilities without being forced, so that they can acquire abundant resources for the betterment of their families.

Romans 15: 1.

Matthew 14: 14-15.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.