Ulusumo lunulo, lulolile b’ulemi bho shada gidi, ubho b’ugenhelejaga gwib’ulaja b’ungwene. Ubhuleni bho shada gidi bhuli bho gulema guleka mihayo ya bhub’i iyo idulile gweng’wenheleja gucha ung’witi oyo.
Olihoyi munhu uyo wib’aga mitugo ja bhanhu. Umunhu ng’wunuyo oli alemile uguleka ugwib’a ulu ohang’wa na bhiye. Lushugu lumo, aho wib’a agading’wa na bhanhu abho bhagantula mpaga upijiwa na polisi. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “olema shada gidi ugwib’ulaja b’ungwene.”
Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina nhungwa ja b’ub’i, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agitaga miito ga bhub’i ayo gadulile kung’wenheleja kupandika makoye matale, kunguno alemile ugugaleka. Uweyi adazunyaga uguhang’wa na bhiye kunguno ya nhinda ijo alinajo, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu ng’wib’i o mitugo uyo agading’wa na bhanhu otulwa mpaga upijiwa na polisi, kunguno nuweyi adazunyaga ugugaleka amito agabhub’i ulu uhang’wa na bhiye, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “olema shada gidi ugwib’ulaja b’ung’wene.”
Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya guzunya guhugulwa na b’ichab’o bho guleka miito ga b’ub’i, kugiki bhadule gwikala bho mholele na b’ichab’o, umuwikaji bhobho.
Yakobo 3: 5-6.
Mathayo 27: 3-5.
Mwanzo 19: 15-26.
KISWAHILI: UMEKATAA KATA KATA UTAJISABABISHIA KIFO CHAKO MWENYEWE.
Methali hiyo, huangalia ukataaji wa moja kwa moja ambao humsababishia mtu kifo chake. Ukataaji wa moja kwa moja ni wa kukataa kuupokea ushauri wa kuacha kutenda maovu ambayo huweza kumletea kifo chake mwenyewe aliyeyatenda hayo maovu.
Alikuwepo mtu aliyekuwa akiiba mifugo ya watu. Mtu huyo, alikataa ushauri aliopewa na wenzake wa kuyaacha maovu. Siku moja alipoiba alikamatwa na watu akapigwa mpaga akaokolewa na polisi. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “umekataa kata kata utajisababishia kifo chako mwenyewe.”
Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu mwenye tabia mbaya, katika maisha yake. Mtu huyo, hutenda matendo maovu ambayo huweza kumsababishia matatizo makubwa, kwa sababu ya kutokukubali kwake kuyaacha. Yeye hakubali kuonywa na wenzake kwa sababu ya kiburi alicho nacho, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule mwizi wa mifugo alikamatwa na kupigwa mpaka akaokolewa na polisi, kwa sababu naye hakubali kuacha matendo maovu anapoonywa na wenzake, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “umekataa kata kata utajisababishia kifo chako mwenyewe.”
Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kukubali kuonywa na wenzao kwa kuacha kutenda maovu katika maisha yao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, maishani mwao.
Yakobo 3: 5-6.
Mathayo 27: 3-5.
Mwanzo 19: 15-26.
ENGLISH: YOU HAVE STRONGLY REFUSED YOU WILL CAUSE YOUR OWN DEATH.
This proverb looks at the rejection of something of someone that results into one self’s death. This denial is the refusal to accept counsel for refraining from wrongdoing that may result in the death of the committer.
There was a man who was stealing people’s livestock. Such man however, rejected the advice which was given to him by his associates to turn away from evil doing. One day when he stole something, he was arrested by people and beaten. Fortunately that he was rescued by police. That is why people told him that, “you have strongly refused you will cause your own death.”
This proverb is likened to a man who had a wicked attitude, in his life. This person, in turn, commits a crime that could lead him to serious problems, because of his refusal to give up. He does not accept the warnings of his fellows because of his pride in his life.
This man resembles to the cattle thief, who was arrested and beaten until he was rescued by the police, because he too refused to stop doing evils when he was warned by his age group, in his life. That is why people tell him that, “you have strongly refused you will cause your own death.”
This proverb imparts in people an idea on how to accept warnings of others enough to stop doing evils in their lives, so that they can live in peace with one another, in their lives.
James 3: 5-6.
Matthew 27: 3-5.
Genesis 19: 15-26.