872. NUMBA YAGWA NHUGUB’AJI.

Imbuki ya kahayile kenako, ilolile kagwile ka numba ya ib’anda. Inumba yiniyo, yigazengagwa bho nhingi ja maselele na yezekelwa mafa. Kuyiniyo lulu, ulu yub’inzika idagwaga b’o gushiga hasi, iyoyi igagwaga nhugub’aji, kulwa nguno ya mselele ayo gagayihangijaga ugushigila ihasi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “numba yagwa nhugub’aji.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo apandikaga makoye ogamala bho nduhu ugub’inzike moyo, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agacholaga njila ja gung’wingija makoye genayo bho gwigulambija gutumama milimo yakwe chiza, umukikalile kakwe. Uweyi adagwaga ng’holo umutumami b’o milimo yakwe yiniyo, kunguno igampandikilaga sabho ja guib’egeja ikaya yakwe, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni numba iyo idagwaga mpaga yashiga hasi, kunguno nu weyi agapandikaga makoye ogamala bho nduhu ugugwa ing’holo, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “numba yagwa nhugub’aji.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gub’iza na wiyumilija bho gugamala amakoye gab’o bho nduhu ugub’inzike moyo, kugiki bhadule kupandika matwaji mingi, umuwikaji bhobho.

1Timotheo 6:11=15.

Luka 6:46-49.

1Timotheo 1:12-17.

Luka 14:29-33.

 

KISWAHILI: NYUMBA IMEANGUKA KWA KUJIEGESHA.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia uangukaji wa nyumba ya kipanda. Nyumba hiyo, hujengwa kwa kutumia nguzo za mlingoti na kuezekwa kwa nyasi. Kwa hiyo, yenyewe ikivunjika huanguka kwa kujiegesha kwa sababu ile mlingoti huizuia kufika chini. Ndiyo maana watu husema kwamba, “nyumba imeanguka kwa kujiegesha.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hupata matatizo na kuyamaliza bila kukata tamaa, katika maisha yake. Mtu huyo, hutafuta njia za kumwondolea matatizo hayo kwa kujibidisha kufanya kazi vizuri matika maisha yake. Yeye huwa hakati tamaa katika utekelezaji wa majukumu yake, kwa sababu huwa yanampatia mali za kuiendelezea familia yake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na nyumba ile isiyoanguka mpaga chini, kwa sababu naye huyatatua matatizo yake mpaka kuyamaliza bila kukata tamaa, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humuita kwamba, “nyumba imeanguka kwa kujiegesha.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kuyamaliza matatizo yao bila kukata tamaa, ili waweze kupata mafanikio mengi zaidi, maishani mwao.

1Timotheo 6:11-15.

1Timotheo 1:12-17.

Luka 6:46-49.

Luka 14:29-33.

nyumba

 

woman--4

namibia-1

himba-

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.