864. NCHOJI O SHIB’I AGACHOLAGA LUFU LOKWE NG’WINIKILI.

Olihoyi munhu uyo wikalaga wibhonela bhanhu bho gubhatula ukunhu wisanyaga giki alina nguzu. Lushigu lumo, umunhu ng’winuyo agikenya na limunhu ilo liganheb’a inguzu umana igiki agub’ulagwa. Wandya gulomba wambilijiwa aliyomba giki, “nzugi munigunane nagub’ulagwa.” Ab’iye b’ung’wila giki, “nchoji o shib’i agacholaga lufu lokwe ng’winikili.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali na miito gab’ub’i umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agitaga mihayo iyo ilikihamo nu b’ulodeji, wib’i, b’ushiya na yingi mingi iyo ikolile ni yiniyo. Uweyi agitulaga mumakoye ga guding’wa na gutulwa ucha mumakanza gose gose, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo wibhonelaga bhanhu mpaka uhaya gub’ulagwa, kunguno nuweyi agitaka miito gab’ub’i ayo gadulile gung’wenheleja kub’ulagwa ulu uding’wa. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “nchoji o shib’i agacholaga lufu lokwe ng’winikili.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka gwita miito gab’ub’i umukikalile kabho, kugiki bhadule gub’ulanhana chiza ub’upanga bhobho, umuwikaji bhobho.

Mathayo 2:3-5.

KISWAHILI: MTAFUTA MAOVU HUTAFUTA KIFO CHAKE MWENYEWE.

Alikuwepo mtu mmoja ambaye alikuwa akiwaonea watu kwa kuwapiga akifikiri kwamba ana nguzu za kumshida mtu yeyote. Siku moja mtu huyo, aligombana na mtu mwenye nguvu kuliko yeye ambaye amzidi nguzu mpaga atambua kwamba atakufa. Akaanza kuomba msaada akisema kwamba, “njoni munisaidie nitauliwa.” Wenzake walimwambia kwamba, “mtafuta maovu hutafuta kifo chake mwenyewe.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu mwenye matendo maovu katika maisha yake. Mtu huyo, hutenda maovu yakiwemo yale ya uchongezi, wizi, uzinzi, na mengine mengi yanayofanana na hayo. Yeye hujiweka katika matatizo ya kupigwa hadi kufa wakati wowote ule akikamatwa, maishani mwake.

Mtu huyo hufanana na yule aliyekuwa akiwaonea watu mpata akataka kuuliwa, kwa sababu naye hutenda maovu yawezayo kumpelekea kwenye hatari ya kuuliwa wakati wowote akikamatwa. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mtafuta maovu hutafuta kifo chake mwenyewe.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha kutenda maovu katika maisha yao, ili waweze kuulinda vizuri uhai wao, maishani mwao.

Mathayo 2:3-5.

man dancing

 

tradition-1

stick-fight-

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.