865. LIGASHIMILIJIYAGWA LYA SHIMA LYA B’ITIILA.

Ulusumo lununo, lulolile bhushimilija bho lishimo. Ubhushilimija bhunubho, bhuli bho ng’wa munhu uyo osangaga machongo gaguhambila madoke ugongeja ugasimba mpaga gabhitiila ubhulihu bho madoke ayo gahambagwa. Aho bhandya uguhamba ab’ahambi bhago guyulib’ila amadoke genayo. Hunagwene bhagayomba giki, “ligashimilijiyagwa lya shima lya b’itiila.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agongejaga mihayo ya bhulongo ukumihayo ya nhana iyo yayombwa, umukikalile kakwe. Umunhu ng’winuyo agawilaga imihayo iya nhana oyigalucha bhoguyongeleja na ya bhulomolomo. Uweyi agadumaga ugubhushisha uku bhanhu bhakwe ubhung’hana bho mihayo iyo agatumagwa na bhiye, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikikolaga nuyo oshimilijaga amashimo ga gugahambila amadoke mpaka gabhitila ubhushimu, kunguno nu weyi agawilagwa imihayo iya nhana ongeja na ya bhulomolomo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ligashimilijiyagwa lya shima lya b’itiila.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya guleka gongeja bhulomolomo uku mihayo iyang’hana iyo bhagawilagwa na bhichabho, kugiki bhadule gubhashigija bhung’hana abhanhu bhabho ubhogubhambilija ugujibheja chiza ikaya jabho.

Mwanzo 3:5.

Waefeso 5:6-9.

 

KISWAHILI: HUONGEZEWA KINA KIKALEFUKA KUPITA KIASI.

Methali hiyo, huangalia uongezeaji wa shimo kwa kulichimba zaidi. Uongezeaji huo, ni wa mtu aliyeyakuta mashimo ya kupandia migomba akayaongezea kuyachimba mpaka urefu wake ukapitiliza kiwango cha kuipandia migomba hiyo. Wapandaji walipojaribu kuipanda migomba hiyo ilitumbukia ndani. Ndiyo maana walisema kwamba, “huongezewa kina kikalefuka kupita kiasi.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huongezea maneno ya uongo kwenye ukweli uliosemwa, katika maisha yake. Mtu huyo, huambiwa maneno ya ukweli akayageuza kwa kuyaongezea uongo, katika maisha yake. Yeye hushindwa kuufikisha ukweli kwa watu watu kwa sababu ya kuongezea uongo wake huo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeongezea kuchimba mashimo ya migomba mpaka yakapitiliza urefu, kwa sababu naye huongezea maneno ya uongo kwenye ukweli aliousikia. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “huongezewa kina kikalefuka kupita kiasi.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha kuongeza maneno ya uongo kwenye ukweli walioambiwa na wenzao, ili waweze kuwafikishia watu wao ujumbe wa kuziendeleza vizuri familia zao.

Mwanzo 3:5.

Waefeso 5:6-9.

lesotho-1

water-1

 

ENGLISH: IT IS ADDED EXCESSIVE DEPTH.

This proverb looks at an addition of a hole by digging it deeper than it was before. Such addition was done the person who saw the planting holes and added them by digging until their height exceeded the level of planting those banana plantations. When the planters tried to plant their plants disappeared inside those holes. That is why they said, “It is added excessive depth.”

This proverb is paralleled to the person who adds false words to the spoken truth, in his life. Such person where is told the words of truth twists them by adding lies, in his life. He as a result fails to convey the truth to his people because of adding his lies to it.

This man is like the one who dug holes of the banana plantations until they exceeded the required height, because he also adds false words to the truth which he heard. That is why people tell him that “It is added excessive depth.”

This proverb imparts in people a clue on stopping adding lies to the truths which they are told by by their fellows, so that they could convey the true message to their people which is essential for their family development.

Genesis 3: 5.

Ephesians 5: 6-9.

 

lesotho-2

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.