862. GUTEGA NHULU NHALIGULILE.

Imbuki ya kahayile kenako, ililola inhulu na wikaji bhoyo. Inhulu ili noni iyo ilinshilimu umukikalile kayo.  Ulu munhu weyiteja aha magi gayo witega igamanaga yiza yahega kunguno ili inhegi noyi. Giko lulu, untegi ng’wunuyo, agaidumaga uguipuja. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “gutega nhulu nhaligulile.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agisagilagwa ginhu ijo adinajipandika umumakono gakwe. Umunhu ng’wunuyo, adatumamaga bho nguzu imilimo yakwe kunguno ya gwilemba giki, agupandika duhu ijiliwa. Uweyi agisangaga ogayiyagwa ijiliwa jinijo aha ng’wakwe kunguno ya gusendamila gunhu ijo adinajidima umumakono gakwe, bho nduhu gujichola tamu.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo ategaga nhulu iza ya hega, kunguno nuweyi agadumaga ugujipandika ijo agajisanyaga aliyo adinajidima umumakono gakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “gutega nhulu nhaligulile.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwigulambija gutumama milimo yabho bho nguvu, mpaka bhajipandike, gukila gwisagilwa ginhu ijo bhadinajo umumakono gabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

KISWAHILI: KUTEGA NJIWA NIFUNGULIE.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia ndege anayeitwa Njiwa. Ndege huyo, ni mjanja katika kuyalinda maisha yake kwa sababu hukwepa mitego anayotegewa kwenye kiota chake. Hivyo basi, mtegaji hushindwa kumnasa kiurahisi. Ndiyo maana watu husema kwamba, “kutega Njiwa nifungulie.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ategemeae kitu ambacho hajakishika mkononi mwake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hajibidishi kufanya kazi zake kwa nguvu kwa sababu ya kujidanganya kwamba atapata tu chakula anachohitaji. Yeye hujikuta amekosa chakula hicho kwenye familia yake kwa sababu ya kutegemea kitu ambacho hana mikononi mwake, na bila kujibidisha kukitafuta.

Mtu huyo, hufanana na yule mtegaji wa Njiwa mwenye ujanja wa kukwepa mtego, kwa  sababu naye hushindwa kukipata kile anachokitegemea bila kukifanyia kazi kwa bidii, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “kutega Njiwa nifungulie.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kuyatekeleza majukumu yao kwa nguvu badala ya kutumainia kitu ambacho hawajakipata mikononi mwao bila kukifanyia kazi, ili waweze kupata mafanikio mengi zaidi, maishani mwao.

Luka 4:1-12.

Marko 12: 13-17.

Yohana 8:1-11.

birdie-

ENGLISH: TO TRAP A DOVE LET ME FREE.

The origin of this saying looks at a bird that is called Dove. This bird is a cunning one in protecting its life because it avoids the traps which is set in its nest. Thus, the trapper fails to catch it easily. That is why people say that, “to trap a Dove let me free.”

This saying is likened to a person who relies on something which he/she has not held in the hand. This person does not try to work hard because of deceiving him/herself that he/she will only get the food which he/she needs. He/she finds him/herself missing such food for feeding the family because of relying on something which he/she does not have in the hands, without struggling to work for it.

This person resembles the trapper a cunning Dove who failed to get it, because he/she too fails to achieve what he/she relies on without working hard, in life. That is why people say to the one that, “to trap a Dove let me free.”

This saying imparts in people knowledge on how to work hard enough to carry out their responsibilities, rather than hoping for something which they do not have in their hands, without working for it, so that they can have more success, in their lives.

Luke 4: 1-12.

Mark 12: 13-17.

John 8: 1-11.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.