860. JALI HENAHA DUHU.

Alihoyi ndimi o mitugo uyo oli ng’wilendeja gete. Undimi ng’wunuyo agajichulila imitugo ugajilega jilidima halebhe kunguno ya wilendeja bhokwe. Ohayimanile ujigaiyiwa. Abhiye bhumuja, “jiliheyi imitugo?” Uweyi agashoga, “jali henaha duhu.” Abhanhu na bhandya gukayomba akahayile kenako ukuli munhu uyo ojilekenijaga jikolo jakwe mpaka jujimila, ulu obhujiwa uko jili oshosha giki, “jali henaha duhu.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajilekanijaga ijikolo jakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adamanile ugujilabhila chiza ijikolo jakwe jinijo kunguno ya gubhiza na bhumani bhugehu ubho solobho ja jikolo jinijo. Uweyi adajilabhilaga ijikolo jinijo kunguno ya bhulekanija bhokwe ubho bhugajenhelejaga gujimila sagala, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu ndimi o mitugo uyo agilendeja mpaga jujimila imitugo jakwe, kunguno nu weyi agajilekanijiga sagala ijikolo jakwe mpaga jajimila, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu abho bhagamujaga uko jili ijikolo jinijo ulu jajimila, agashoshaga giki, “jali henaha duhu.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhudiliji wiza bho ijikolo jabho bho jilabhila chiza, kugiki jidule gubhambilija chiza umubhulamu bhobho. Idichiza ugujilekanija sagala ijikolo jabho jinijo.

Yohane 10:1-6.

Yohane 10:11-15.

Ezekiel 34:1-16.

 

KISWAHILI: WALIKUWA HAPA HAPA TU.

Alikuwepo mchungaji wa mifugo aliyekuwa akijisahau na kuwaacha mifugo hao bila uangalizi. Mchungaji huyo, aliwatoa mifugo zizini na kwenda kuwaacha sehemu fulani kwa sababu ya kujisahau kwake. Alishutukia mifugo hao hawapo pale alipowaacha.

Watu wakamuuliza, “mifugo wako wapi?’ Yeye alijibu, “walikuwa hapa hapa tu.” Ndipo watu wakaanza kuutumia msemo huo kwa mtu yule aliyepoteza mali zake anapouliwa ziliko, naye hujibu kwamba, “walikuwa hapa hapa tu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule avitelekezaye vitu vyake katika maisha yake. Mtu huyo, huwa haelewi kuzitunza vizuri mali zake hizo, kwa sababu ya kuwa na uelewa mdogo juu ya faida za mali hizo. Yeye huwa havitunzi vitu vyake kwa sababu ya kuvitelekeza vitu hivyo hali ambayo hupelekea kupoteza mali zake, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule mchungaji aliyejisahau mpaka akawapoteza mifugo wake, kwa sababu naye huvitelekeza vitu vyake mpaka vinapotea, maishani mwake. Ndiyo maana watu waonamuuliza mahali zilipo mali zake, yeye hujibu kwamba, “zilikuwa hapa hapa tu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na utunzaji wa kuzijali vizuri mali zao, ili ziweze kuwasaidia vizuri katika maisha yao. Siyo vizuri kuzitelekeza ovyo mali zao.

Yohane 10:1-6.

Yohane 10:11-15.

Ezekiel 34:1-16.

ngorongoro-

ENGLISH: THEY WERE JUST HERE.

There was a herdsman who forgot himself by leaving the herds unattended. Such shepherd took the animals out of their stockyard and left them somewhere because he had forgotten about them. He was shocked that his animals were not there where he left them.

People asked him, “Where are your animals?” He replied, “They were just here.” People then began to use the saying on the person, who loses his property when he is asked about ‘where are your properties?’ He replies, “they were just here.”

This saying is compared to a person who abandons his possessions in his life. Such person does not know how to take good care of his properties, because he has little understanding of their benefits to him. He often does not take care of his belongings because of neglecting them, which leads to the situation of getting lost.

This man is like that shepherd who forgot himself until he lost his livestock, because he also abandons his possessions until they are lost, in his life. That is why when people ask him about ‘where his belongings are,’ he answers, “they were just here.”

The saying imparts in people an idea on how to take good care of their properties, so that they can help them better in their future lives. It is not good to neglect their properties.

John 10: 1-6.

John 10: 11-15.

Ezekiel 34: 1-16.

 

ngorongoro-

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.