859. OGIMA GUTINYA NG’WA SHOLOMA!

Alihoyi munhu umo umuchalo jilebhe uyo witanagwa Sholoma. Umunhu ng’wunuyo, olinsab’i o mitugo na sabho ningi. Abhanhu bhali bhang’wogohile noyi kunguno yalidimu nulu gugima gujutola hoyi.

Lushigu lumo agagima guja hoyi nyanda umo uyo wikalaga mumo chalo jinijo, ugiponda soni. Aliyo abhanhu bhagankumya noyi unyanda ng’wunuyo ugugima gutinya ha kaya yiniyo. Hunagwene bhagang’wila giki, “ogima gutinya ng’wa Sholoma!”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agihadikijaga gwita mihayo iyo ikilile ubhudula bhokwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agadumaga uguimalaga chiza imihayo yiniyo iyo oyandya kunguno ya gugaiya ubhudula bho guimaligija. Uweyi agapandika makoye mingi ayo gali kihayo na  gubhiza na nzala aha kaya yakwe, kunguno ya guduma ugubisha ijiliwa umumigunda yakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu nyanda uyo agagima gutinya ng’wa Sholoma, ugiponda soni, kunguno nuweyi agihadikijaga gutumama milimo iyo ibhitilile ubhudula bhokwe, umukikalile kakwe.

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwigulambija gutumama milimo iyo bhayidujije bho guyileka iyo ikilile ubhudula bhobho, kugiki bhadule kupandika matwajo ga gubhambilija ugujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Yoshua Bin Sira 31:1-11.

Luka 7:1-8.

1Timotheo 6:17-19.

 

KISWAHILI: UMETHUBUTU KUINGIA KWA SHOLOMA!

Alikuwepo mtu mmoja kwenye kijiji fulani aliyeitwa Sholoma. Mtu huyo, alikuwa tajiri wa mifugo na mali nyingi. Watu walimwogopa sana kwa sababu ilikuwa vigumu kwao hata kwenda kuoa pale.

Siku moja mvulana mmoja aliyekuwa akiishi ndani ya kijiji hicho, alithubutu kwenda pale akajiaibisha. Lakini watu walimshangaa sana mvulana huyo kwa kuthubutu kuingia pale. Ndiyo maana walimwambia kwa mshangao kwamba, “umethubutu kuingia kwa sholoma!”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujilazimisha kufanya mambo yazidio uwezo wake, katika maisha yake. Mtu huyo, hushindwa kuyatekeleza yale aliyoyaanzisha kwa kukosa uwezo wa kuyakamilishia.  Yeye hukumbwa na matatizo mengi yakiwemo yale ya njaa kutokana na kushindwa kuivisha mazao kwenye mashamba yake.

Mtu huyo, hufanana na mvulana yule aliyejiaibisha kwa kuthubutu kuingia kwa Sholoma, kwa sababu naye hujilazimsha kufanya mambo yazidiyo uwezo wake, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwa mshangao kwamba, “umethubutu kuingia kwa sholoma!”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi zile wanazoziweza kwa kuziacha zile zinazozidi uwezo wao, ili waweze kupata mafanikio ya kuwawezesha kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Yoshua Bin Sira 31:1-11.

Luka 7:1-8.

1Timotheo 6:17-19.

masai3

people woman

black-1

ENGLISH: YOU HAVE DARED TO GO INTO SHOLOMA!

There was a man who lived in a certain village whose name was Sholoma. Such man was a rich one in livestock and other various possessions. People were very afraid of him because it was difficult for them dare going to get married with any member of his house.

One day a young man who lived in that village dared to go there. To his surprise he was embarrassed. But to the amazement of the people, the boy dared to enter such house. That is why they said to him in amazement, “you have dared to go into Sholoma!”

This saying is applied to the person who forces himself to do things which are beyond his ability, in his life. Such person fails to carry out what he sets out to do due to his an inability to complete it. He suffers from several harms, including hunger, due to his inability to produce crops on his farms.

This man resembles the young man who was ashamed after daring to come into Sholoma’s house, because he also forces himself to do things which are beyond his capacity in his life. That is why people say to him in amazement, “you have dared to go into Sholoma!”

This saying teaches people on how to work hard by doing works which are within their abilities by stopping wasting time in doing what they cannot afford, so that they can be successful enough to develop well their families.

Joshua Bin Sirach 31: 1-11.

Luke 7: 1-8.

1Timothy 6: 17-19.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.