858. WIGWA KINGI.

Bhalihoyi bhanhu bhab’ili abho bhilomelaga. Aliyo lulu, umo obho agakija ugwigwa chiza umo ong’wililaga ung’wiye kunguyo agashosha heke numo owililagwa. Hunagwene ung’wiye agang’wila giki, “wigwa kingi.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo ading’witegelecha chiza ulu aliwilwa mihayo na bhiye, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adayidebhaga chiza imihayo iyo agawilagwa nabho agikalaga nabho, kunguno ya gukija gwitegeleja chiza gokwe gunuyo. Uweyi agaigaluchaga bho guyiyomba heke imihayo iyo agawilagwa na bhiye, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agayigwa heke imihayo iyo agawilwa na ng’wiye, kunguno nuwei agayiyombaga heke imihayo iyo agawilagwa na bhiye, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “wigwa kingi.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho guyidebha chiza imihayo iyo bhagawilaga na bhichabho, bho guyiyomba gitumo yahayilagwa, kugiki bhadule kujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho. Yigelelilwe bhaleke uguigalucha imihayo iyo bhawilagwa na bhichabho.

Luka 4:14-19.

Yohane 8:44-47.

 

KISWAHILI: UMESIKIA VINGINE.

Walikuwepo watu wawili waliokuwa wakiongea pamoja. Lakini basi, katika maongezi hayo, mmoja wao hakumsikia vizuri mwenzake, kwa sababu alijibu tofauti na vile alivyoambiwa. Ndiyo maana mwezake huyo alimwambia kwamba, “umesikia vingine.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa hasikilizi vizuri anachoambiwa na wenzake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hana umakini wa kuyaelewa vizuri maneno anayoambiwa na wenzake, kwa sababu ya kutokuwasikiliza vizuri wenzake hao, maishani mwake. Yeye huwa anayageuza maneno kwa kuyaongea tofauti na alivyoambiwa na wenzake, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeyaongea tofauti maneno aliyoambiwa na mwenzake, kwa sababu naye huyabadilisha maneno aliyoelezwa na watu wake, katika maisha yake. Ndiyo maana watu hao humwambia kwamba, “umesikia vingine.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuuelewa vizuri ujumbe wanaopewa na wenzao, kwa kuufikisha kama ulivyotakiwa, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao. Wanatakiwa kuacha kuugeuza ujumbe huo waliopewa na wenzao.

Luka 4:14-19.

Yohane 8:44-47.

 

african ring1

 

smile-

 

ENGLISH: YOU HAVE HEARD DIFFERENTLY.

There were two people who were talking to one another. But then, in their conversation, one of them did not listen well to the other, as he answered differently from what he was told. That is why his acquaintance told him, “you have heard differently.”

This saying is compared to a person who does not listen well to what his fellows say, in his life. He in turn, does not pay attention to the words of his associates, because he does not listen well to them. He often turns them by speaking differently from what his nobles told him.

This person is like the one who spoke differently from his fellow, because he also changes the words which are spoken by others, in his life. That is why these people tell him that, “you have heard differently.”

This saying instills in people an idea of being careful enough to understand what they are told by their fellows, by conveying it as it should be, so that they can better develop their families, in their lives. They should stop distorting what they are given by their fellows.

Luke 4: 14-19.

John 8: 44-47.

 

people work1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.