857. LYADUSHIGA ILYA NG’WA GASELA.

Akahayile kenako, kandija kuli munhu uyo witanagawa Gasela. Umunhu ng’wunuyo oliatogilwe kutumama chiza imilimo yakwe. Uweyi oli atogilwe guyomba giki lyadushiga ilikanza ulu bhalitumama imilimo yabho. Giko lulu abhanhu huna kubhiza kayombele kabho ulu lyashila ilikanza lya milimo giki “lyadushiga ilya ng’wa Gasela.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agigulambijaga kutumama milimo yakwe chiza, aha kaya yakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga alemile ugulijimija sagala ilikanza ilya milimo, kunguno ayidebhile isolobho ya ilikanza linilo. Uweyi agapandikaga sabho ningi noyi akahaya yakwe, kunguno ya bhukamu bhokwe ubho gutumama milimo chiza bhuli lushiku.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu Gasela uyo olimkamu ogutumama milimo yakwe chiza, kunguno nuwei agikomejaga uguitumama chiza imilimo yakwe, aha kaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “lyadushiga ilya ng’wa Gasela.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwikomeja gutumama milimo yabho bho nguzu haho ilikanza lilizunya bho yaya guzunya libhashige, kugiki bhadule kupandika sabho ya kujilang’hanila chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Wagalatia 6:9.

KISWAHILI: UMETUACHA MUDA WA GASELA.

Msemo huo, ulianzia kwa mtu mmoja aliyeitwa Gasela. Mtu huyo, alipenda kufanya kazi zake vizuri na kwa bidii kubwa. Yeye alipendelea kusema kwamba, muda umetuacha wakiwa wanafanya kazi kama njia ya kumaliza kazi yao ya siku hiyo. Ndipo basi watu wakawa wakisema unapowaishia muda wa kazi zao kwamba, “muda umetuacha wa Gasela.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ajibidishaye kufanya kazi zake vizuri kwenye familia yake. Mtu huyo, huwa hataki kupoteza bure muda wake wa kazi, kwa sababu anazifahamu faida za muda huo. Yeye hupata mali nyingi kwenye familia yake kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kuyatekeleza vizuri majukumu ya kila siku.

Mtu huyo, hufanana na Gasela aliyekuwa na bidii ya kuzifanya kazi zake vizuri, kwa sababu naye hujibidisha kuzitekeleza kazi zake vizuri, kwenye familia yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “muda umetuacha wa Gasela.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kuyatekeleza kwa nguvu majukumu yao wakati muda ukiwa unaluhusu bila kukubali muda huo uwapite bure, ili waweze kupata mali za kutosha kuzindeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Wagalatia 6:9.

 

fisherman-2

 

village-1

 

kigali-1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.