855. SHO YA NHALA IDALANDAGWA.

Imbuki ya lusumo lunulo, ilolile sho iyo ili ya ng’wa munhu uyo ali nhala. Isho yiniyo igatumamilagwa bho gushela bhufu na bhanhu. Aliyo lulu, ung’wikili sho yiniyo alemile ugubhagunana abhiye abho bhagajaga gujunhanda kugiki nabho bhagaishele. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “sho ya nhala idalandagwa.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo adina na wiye umukikalile kakwe, kunguno agikalaga wimanile weyi duhu. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga alemile ugubhagunana abhiye ijikola jakwe, kunguno ya ming’holo bhokwe. Uweyi agabhadalahaga abhiye kunguno ya masala gakwe agagwimana weyi duhu, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nu ng’hala uyo obhimaga abhiye isho yakwe, kunguno nu weyi alemile ugubhagunana abhiye ijikolo jakwe, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “sho ya nhala idalandagwa.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya guleka nhungwa ja wiming’holo umuwikaji bhobho, kugiki bhadule gujilanija bho gwiyambilija chiza na bhichabho, umukikalile kabho.

Wagalatia 3:1-3.

KISWAHILI: JIWE LA KUSAGA LA MJINGA HALIAZIMWI.

Chanzo ja methali hiyo, chaangalia jiwe la kusaga la mtu ambaye ni mjinga. Jiwe hilo hutumiwa na watu kwa kusaga unga. Lakini mwenye jiwe hilo hataki kuwasaidia wenzake wanaoenda kuliazima ili wakalisagia. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “jiwe la kusaga la mjinga haliazimwi.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hana ushirikiano na wenzake kwa sababu ya kujijali mwenyewe tu katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hataki kuwasaidia wenzake vitu alivyo navyo kwa sababu ya uchoyo wake. Yeye huwadharau wenzake kwa sababu ya akili yake hiyo ya kujijali yeye mwenyewe tu katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule mjinga aliyewanyima wenzake jiwe lake la kusaga, kwa sababu naye hataki kuwasaidia wenzake mali zake, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “jiwe la kusaga la mjinga haliazimwi.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya uchoyo katika maisha yao, ili waweze kuishi pamoja kwa kusaidiana vizuri na wenzao, katika maisha yao.

Wagalatia 3:1-3. “Ninyi Wagalatia wajinga! Ni nani aliyewaloga? Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele yenu kwamba amesulibiwa. Nataka nijifunze neno moja kutoka kwenu: Je, mlipokea Roho wa Mungu kwa kushika sheria, au kwa kuyaamini yale mliyosikia? Je, ninyi ni wajinga kiasi hicho? Baada ya kuanza kwa Roho, je, sasa mwataka kukamilishwa katika mwili?”

stone-1

ENGLISH: THE GRINDER STONE OF A FOOL IS NEVER BORROWED.

The basis of this proverb looks at the grinding stone of a fool. This stone is used by the people for grinding flour. But the owner of this stone does not want to help his fellow borrowers. That is why people say to him, “the grinder stone of a fool is never borrowed.”

This man is like the fool who deprived his companions of his grinder stone, because he also does not want to help his fellow men with his possessions in his life. That is why people say to him, “the grinder stone of a fool is never borrowed.”

This proverb teaches people about giving up a habit of greed in their lives, so that they can live together by helping each other well in their lives.

Galatians 3: 1-3 “You foolish Galatians! Who bewitched you? Jesus Christ was made clear to you that he was crucified. I want to learn one thing from you: Did you receive the Spirit of God by keeping the law or by believing what you heard? Are you so stupid? Now that you have begun in the Spirit, do you want to become perfect in the flesh? ”

native-american-

stone-2

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.