854. NDALA MUMIGUNDA.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile kanoni aka kagitanagwa kadede. Akanoni kenako kagitanagwa giko kunguno kagasolaga bulubha mungunda kagabheja chanjo cha gutelela. Akoyi kagatelelaga mumo mungunda go bhulubha gunuyo, nulu mungunda gose jose. Hunagwene abhanhu bhagakitanaga giki, “ndala mumigunda.”

Akahayile kenako kalenganijiyagwa kuli munhu uyo agigulambijaga gutumama milimo yakwe mpaga opandika sabho ja guzengela numba yakwe. Umunhu ng’wunuyo, agatumamaga milimo yakwe chiza iyo ilikihamo na gulima migunda ya gunpandikila jikolo ja gudula guzenga numba nhale aha kaya yakwe. Uweyi agadulaga ugupandika isabho kunguno ya wigulambija bhokwe bho gutumama milimo bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga ni noni yiniyo iyo igigulambijaga gutumama milima mpaga yadula gutela mumigunda, kunguno nu weyi agigulambijaga gutumama milimo yakwe mpaga opandika sabho ja guzengela numba, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “ndala mumigunda.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya bhuli ng’wene gubhiza na masala ga gwibegeja wikaji gubitila nzila ya gulima na guzenga numba na gwikala moyi, kugiki adule gwikala musoga, umuwikaji bhokwe.

KISWAHILI: MLALA MASHAMBANI.

Chanzo cha msemo huo chaangalia ndege mdogo anayeitwa “Dede.” Ndege huyo huitwa hivyo kwa sababu hutafuta pamba kwenye mashamba za kutengenezea kiota chake. Yeye huchukua pamba hiyo na kujengea kiota chake ndani ya shamba hilo au kwenye shamba jingine. Ndiyo maana watu humuita kwamba ni “mlala mashambani.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujibidisha kufanya kazi zake mpaka anapata mali za kujengea nyumba yake. Mtu huyo, huzifanya kazi zake vizuri ambazo ni pamoja na kulima mashamba ya kumwezesha kuzipata hizo mali za kujengea nyumba yake hiyo. Yeye huweza kupata mali hizo kwa sababu ya kujibidisha kwake katika kuyatekeleza majukumu yake.

Mtu huyo hufanana na yule ndege aliyejibisha kufanya kazi mpaka akajenga kiota chake mashambani, kwa sababu naye hujibidisha kufanya kazi zake mpaka anapata mali za kujengea nyumba, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita kwamba ni “mlala mashambani.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kila mmoja kuwa na akili ya kujijengea nyumba ya kuishi humo kupitia njia mbali zikiwemo zile za kulima, ili aweze kuishi vizuri, katika maisha yake.

Mathayo 7:7-8.

Mathayo 6:25-26.

bird-

cotton--

ENGLISH: A SLEEPER IN THE FIELD.

The source of this saying refers to a small bird which is called “Dede.” Such bird is so named because it searches for cotton in the fields for making its nest. It takes the cotton and builds its nest in the field or in another field. That is why people call it a “sleeper in the fields.”

This saying is compared to a person who works hard enough to earn a living. This man does his job well, which includes cultivating land to enable him acquire the property for building his house. He manages to obtain these assets because of his diligence in carrying out his responsibilities.

This man is like the bird that worked hard enough to build a nest in the field, because he also worked hard enough to get a job that enables him to build a house for living in it. That is why people call him a “sleeper in the fields.”

This saying instills in people an idea on each one to have the mind for building a house to live in through various means including farming, so that he/she can live well in his life.

Matthew 7: 7-8.

Matthew 6: 25-26.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.