853. ULU UTALI UGUB’INYAGA MATU UGUB’UMBAGWA.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile bhub’inyi bho matu ga ng’wa munhu nhebhe na bhubhumbwa bhokwe. Umunhu adulile gumisha alimhola idiyu mpaga uja kumilimo yakwe chiza.

Aliyo lulu, adulile gupandika josejose umumzila ijo jidulile gumgalucha ubhiza unginawe kunguno adamanile iyo ilampandika umuwikaji bhokwe. Olihoyi munhu umo uyo olinsoga uyo agadosa wandya gubhaseka abho bhali na mahanga mabhi.

Lushigu lumo agapandika ajali uminyika mpaga lyubhipa ilihanga lyakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “ulu utali ugub’inyaga matu ugub’umbagwa.”

Akahayile kenako kagayombagwa kuli munhu uyo agiganikaga giki adalapandika makoye ayo gadulile gung’witila jika, umubhulamu bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, adayizunyaga imihayo ya Nsumbi okwe. Uweyi adadebhile chiza igiki adulile gubhugayiwa uwiza bhokwe kulwa nguno ulu atali ali mpanga atali agubumbagwa iki adulile gugaluka ili hayanga lwakwe bho gupandika jika.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo akapandika ajali ubhujimija ubhusoga ubho bhondoshaga mpaga olubhaseka abha mahanga mabhi, kunguno nuweyi agiiganikilaga giki adubhipa ilihangwa lwakwe, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu abhagang’wilaga giki, “ulu utali ugub’inyaga matu ugub’umbagwa.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guzunya iyo ilabhapandike ulu bhatali bhapanga kunguno bhadina bhudula bho gongeja shigu jabho nulu gupunguja josejose ukumimili yabho. Yigelelilwe bhawize ni kujo ukubhichabho bho guleka kubhaseka abha mahanga mabhi, kunguno nabho bhadamanile iyo igubhapandika, umulamu bhobho.

Ayubu 6:2-6.

Ayubu 6:2-6.

Ayubu 16:6-8.

Yohana 6:67-69.

KISWAHILI: UKIWA BADO UNACHEZESHA MASIKIO UNANDELEA  KUUMBWA.

Chanzo cha msemo huo chaangalia uchezeshaji wa masikio ya mtu fulani na kuumbwa kwake. Mtu huyo, aweza kuamka salama asubuhi mpaka akaenda kwenye kazi zake.

Lakini basi, yeye aweza kupata chochote njiani ambacho chaweza kumbadilisha akawa mwingine kwa sababu hajui kitakachompata maishani mwake.

Alikuwepo mtu mmoja aliyejaliwa kuwa na sura nzuri ambaye alianza kujivuna kwa kuwacheka wenye sura mbaya. Siku moja alipata ajali akaumia mpaka sura yake ikawa mbaya. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “ukiwa bado unachezesha masikio unandelea kuumbwa.”

Msemo huo husemwa kwa mtu yule ambaye hujifikiria kuwa na sura mzuri ambayo haiwezi kubadilika kwa kupata kilema maishani mwake. Mtu huyo, hayakubali maneno ya muumba wake kwa sababu ya kujifikiria kuwa amekamilika katika uzuri wake. Yeye hafahamu vizuri kwamba aweza kuukosa huo uzuri wake kwa sababu mbalimbali zikiwemo zile na kupata kilema.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyepata ajali akapoteza uzuri aliojivunia mpaka akaanza kuwacheka wenye sura mbaya, kwa sababu naye hujifikiria kwamba sura yake haitaweza kuhalibika, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “ukiwa bado unachezesha masikio unandelea kuumbwa.”

Msemo huo, huwafundisha watu juu ya kukubali kupokea kile kitakachotokea maishani mwao, kwa sababu hawana uwezo wa kuongeza chochote kwenye siku za kuishi, wala kuibadili miili yao. Wanatakiwa kuwaheshimu wenzao badala ya kuwacheka wanaoonekana kuwa na sura mbaya, kwa sababu hata wao hawafahamu yatakayowapata maishani mwao.

Ayubu 6:2-6.

Ayubu 16:6-8.

Yohana 6:67-69.

ENGLISH: IF YOU STILL PLAY YOUR EARS YOU ARE STILL BEING CREATED.

The origin of this saying focuses on the playfulness of a person’s ears and his creation. This person may wake up safely in the morning and go to work.

But then, he can get anything along the way that will change his appearance because he does not know what will happen to him in future his life.

There was one man who was gifted with a good figure who began to boast of making fun of the ugly ones. One day he had an accident and was injured until his face became worse. That is why people said to him, “if you still play your ears you are still being created.”

This saying is applied to a person who thinks of himself as having a good appearance that cannot be changed by getting a disability in his life. Such a person does not accept the words of his creator because of his self-assurance. He is unaware that he can miss out on his handsome for a variety of reasons, including having disabilities.

This man resembles the one who had an accident and lost the good appearance that he was proud of until he began to laugh at the ugly ones, because he also thinks that his appearance will never be damaged, in his life. That is why people say to him, “if you still play your ears you are still being created.”

This saying imparts in people an idea on how to accept what will happen in their lives, because they have no power to add anything to their days of life, nor to change their bodies. They should respect their people instead of laughing at those who look ugly, because even they do not know what will happen to them in future life.

Job 6: 2-6.

Job 16: 6-8.

John 6: 67-69.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.