852. NG´HUMBI MBITILWA.

Imbuki ya lusumo lunulo ifumilile kubhubadi bho mhumbi bho ng’wa munhu nhebhe. Umbadi o mhumbi ng’wunuyo ulu oyibhona agaikungilaga chiza na oyibada. Aliyo lulu, umunhu ng’wunuyo ulu uyifuja iyimo yulala, pye ni jingi jigubhitilwa, bho gubhuruka na gulala pye. Hunagwene abhanhu bhagajitanaga umunhu ng’wunuyo giki “mhumbi mbitilwa.”

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agiingijaga muma mihayo ayo adagamanile chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agidumaga na bhiye abho agikalaga nabho kunguno ya wishatya bhokwe bhunubho. Uweyi agamanaga wiponda soni ulu ogayiwa ubhunhana bho guyiyombela imihayo iyo wiyishatyaga yiniyo bho nduhu uguyidebha chiza.

Umunhu ng’wunuyo, agikolanijiyagwa ni mhumbi ijo jigalalaga bho gukubhanijiwa niyo yafujiyagwa gubadwa nu mbadi o mhumbi, kunguno nu weyi agiingijaga mu mihayo iyo adayimanile chiza umukikalile kakwe. Hunagwene  abhanhu bhagang’witanaga giki, ali  “nhumbi mbitilwa.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka gwita mihayo iyo bhaduyidebhaga chiza, umukikalile kabho, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umunzengo gobho. Yigelelilwe abhanhu bhenabho bhayiitile bhukengeji bho guidebha chiza imilimo yabho haho bhatali uguitumama, kugiki bhadule gupandika sabho ja kujibheja chiza ikaya jabho.

Marko 9:42.

PANZI MPITIWA.

Chanzo cha methali hiyo, kilianzia kwenye ukamataji wa panzi wa mtu fulani. Mkamataji huyo wa panzi akimuona panzi huyo humunyemelea vizuri ndipo anamkamata. Lakini basi, mtu huyo akimkosa kumshika, panzi huyo huruka na wale panzi wanzake hupitiwa na yule mwenzao kwa kuruka pamoja naye. Ndiyo maana watu huwaita kwamba ni “panzi mpitiwa.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujiingiza kwenye mambo au maneno asiyoyafahamu vizuri katika maisha yake. Mtu huyo, hukosana mara kwa mara na wenzake anaoishi nao kwa sababu ya kujiingiza kwake kwenye mambo hayo asiyoyaelewa. Yeye hujiaibisha mwenyewe hasa anapokosa maelezo ya kweli juu ya jambo aliloliunga mkono bila ya kulielewa kwanza.

Mtu huyo, hufanana na panzi wale walioruka kwa kupitiwa na mwenzao aliye nusulika kukamatwa na mkamataji wa panzi, kwa sababu naye hujiingiza kwenye mambo yale asiyoyafahamu vizuri maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita mtu huyo kwamba, ni “panzi mpitiwa.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kufanya mambo wasiyoyalewa vizuri katika maisha yao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao na kupata maendeleo mengi. Wanatakiwa kufanya utafiti wa kuwawezesha kuzielewa vizuri kazi zao kabla ya kuzitekeleza ili waweze kupata mafanikio makubwa ya kuziendeleza vizuri familia zao.

Kosa la Adam una Eva.

Marko 9:42. “Kama mtu ye yote akimsababisha mmojawapo wa wadogo hawa wanaoniamini kutenda dhambi, ingekuwa afadhali mtu huyo afungiwe shingoni mwake jiwe kubwa la kusagia na kutoswa baharini.”

 

animal1

ENGLISH: THE MOB TAKEN GRASSHOPPER.

The origin of this proverb can be traced back to a catcher of grasshoppers. The person who catches grasshoppers walks slowly with an aim of catching them before they fly. But then, if this person misses one of them, he/she will miss even the others, because it will fly away and the other grasshoppers will be taken by their mate by flying together with it. That is why people call it the “the mob taken grasshopper.”

This proverb is compared to a person who supports things which he or she does not understand well in his or her life. This person, from time to time, enters into conflicts with his or her roommates because of his or her involvement in things which he or she does not understand. He becomes ashamed of himself especially when he lacks accurate information about what he supported without first understanding it.

This person resembles the grasshoppers which flew by being taken by the one that escaped death from grasshopper catcher, because he also supports things that he does not know well in his life. That is why people call him a “the mob taken grasshopper.”

This proverb teaches people to stop doing evil things in their lives, so that they can live in peace with each other and get more progress in their lives. They need to do research enough to enable them understand their work before implementing it so that they can achieve greater success for developing their families.

Adam’s fault is Eve.

Mark 9:42. “If anyone causes one of these little ones who believe in me to stumble, it would be better for him if a millstone were hung around his neck and he were thrown into the sea.”

 

 

One comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.