1468. NAGULILAGA HA NUMBAGA.

Olihoyi munhu uyo agasoma chiza mpaga ukinda umumasomo gakwe. Unsomi ng’wunuyo, agapandika nimo kulwa bhusomi bhokwe bhunubho umo agayupandikila mhiya gubhitila mu nimo gokwe gunuyo. Uweyi agayulila mu mbeho kunguno ya kupandika mhiya ja gugulila jiliwa bho nduhu ugupya ilimi. Hunagwene agayomba giki, “nagulilaga ha numbaga.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina masala ga gwigugulambija gutumama milimo yakwe chiza mpaga opandika sabho ja gutumamila umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agagatumamilaga amasala gakwe bho guchola milimo miza na gwigulambija guitumama chiza mpaga opandika jiliwa oyulya chiza aha kaya yakwe yiniyo, kunguno ya masala gakwe genayo, umuwikaji bhokwe. Uweyi apandikaga sabho ja gulya chiza aha kaya yakwe kunguno ya masala gakwe genayo, agatumama milimo yakwe chiza chiniko, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agasoma mpaga upandika nimo gogupandikila mhiya ja gulila mu mbeho, kunguno nuweyi alina masala gagwigulambija gutumama milimo chiza mpaga opandika jiliwe ja gulya chiza aha kaya yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene agayombaga giki, “nagulilaga ha numbaga.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na masala gagwigulambija gutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gupandika sabho ja gulya chiza umukaya jabho jinijo, umuwikaji bhobho bhunubho.

Yeremia 52:33-34.

Mhubiri 5:10-15.

KISWAHILI: NINAKULA NIKIWA KIVULINI.

Alikuwepo mtu aliyesoma vizuri mpaka akashinda vizuri katika masomo yake. Msomi huyo, alipata kazi iliyompatia hela kwa sababu ya usomi wake huo. Yeye alianza kula akiwa kivulini kwa sababu ya pesa alizozipata kwenye mshahara wakutoka kwenye kazi yake hiyo. Ndiyo maana alisema kwamba, “ninakula nikiwa kivulini.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana akili za kujibidisha kufanya kazi zake vizuri mpaka anapata mali nyingi, katika maisha yake. Mtu huyo huitumia vizuri akili yake kwa kujibidisha kufanya kazi vizuri mpaka anapata chakula cha kula vizuri katika familia yake, kwa sababu ya akili zake hizo, maishani mwake. Yeye hupata mali za kula vizuri katika familia yake kwa sababu ya akili zake hizo, za kujibidisha kufanya kazi vizuri hivyo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyesoma vizuri mpaka akapata kazi ya kumpatia pesa za kumwezesha kula akiwa kivulini, kwa sababu naye ana akili za kujibidisha kufanya kazi zake vizuri mpaka akapata chakula cha kula vizuri kwenye familia yake hiyo, maishani mwake. Ndiyo husema kwamba, “ninakula nikiwa kivulini.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na akili za kujibidisha kuyatekeleza vizuri majukumu yao, ili waweze kupata mali za kula vizuri katika familia zao, maishani mwao.

Yeremia 52:33-34.

Mhubiri 5:10-15.

ENGLISH: I EAT IN THE SHADE.

There was a man who studied diligently until he excelled in his education. Because of his hard work and intelligence, he secured a good job that provided him with a steady income. As a result of his salary, he was able to live comfortably and “eat in the shade.” That is why he said, “I eat in the shade.”

This saying refers to a person who uses his intelligence wisely and works hard enough to perform his duties well until he gains prosperity in life. Through dedication and perseverance, he earns enough to provide good food and a stable life for his family. His success does not come by chance, but through effort, discipline, and responsible living.

Such a person is like the one who studied hard and obtained a job that enabled him to “eat in the shade.” In the same way, anyone who applies wisdom and diligence in their work will eventually enjoy the fruits of their labor.

This saying teaches people the significance of intelligence, hard work, and commitment to responsibilities. When a person works faithfully and wisely, he will be able to support his family and live a stable and honorable life.

Jeremiah 52:33–34 — Jehoiachin was released from prison and given regular provision for the rest of his life.

Ecclesiastes 5:10–15 — True satisfaction does not come from loving money, but from wisely enjoying the fruits of one’s labor.

 

 

 

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.