1415. UGUPONDAGA NG’WITUMBI NUB’UTA UDINAB’O.

Aho kale olihoyi munhu uyo agaluta liwe ng’witumbi aliyo oliadina b’uta umumakono gakwe. Ilitumbi linilo lilipilinga ilo ligikalaga na shinu giti mbiti, nzoka, sub’i, na jingi ijo jigikalaga jilendile moyi.

Abhanhu bhagankumya noyi kunguno umub’upondi bhokwe bhunubho, adulile gujibhulucha ishinu jinijo ija mbika na mbika ahikanza adina b’uta nulu jilanga ja gwigunanila. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagang’wila giki, “ugupondaga ng’witumbi nub’uta udinab’o.”

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agandyaga gutumama milimo iyo adina nguzu ja guimalila umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agandyaga gutumama milimo mitale iyi ijikilile inguzu jakwe kunguno ya gukija gwitegeleja chiza, umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agakoyiyagwa na bhuhabhi bhuli ng’waka aha kaya yakwe kunguno ya gukija gwitegeleja chiza haho atali ugandya uguitumama imilimo yakwe yiniyo, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agaponda ng’witumbu bho nduhu gwikala na b’uta umumakono gakwe, kunguno nuweyi agandyaga gutumama milimo iyo adina nguzu ja guimalila, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ugupondaga ng’witumbi nub’uta udinab’o.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gwandya gutumama milimo iyo bhali nguzu ja guimalila chiza, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho bhunubho.

Hesabu 32:30.

Hesabu 32:17.

KISWAHILI: UNAPONDA KWENYE PANGO NA UPINDE HUNA.

Hapo zamani alikuwepo mtu aliyetupa jiwe kwenye pango bila ya kuwa na upinde mikononi mwake. Pango hilo ni jiwe ambamo ndani yake huishi wanyama wakali kama vile fisi, nyoka, chui na vingine vinavyoishi humo.

Watu walimshangaa sana kwa sababu utupaji huo wa jiwe bila ya yeye kuwa na upinge au siraha unaweza kuwasababisha wanyama hao kutoka na kumjeruhi. Ndiyo maana watu hao walimwambia kwamba, “unaponda kwenye pando na upinde huna.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huanzisha kazi ambazo hana uwezo wa kuzimaliza, katika maisha yake. Mtu huyo, huanzisha kazi kubwa kushinda nguvu zake mpaka anashindwa kuzimaliza, kwa sababu ya kushindwa kufikiri vizuri maishani mwake. Yeye husumbuliwa na tatizo la umaskini kwenye familia yake kila mwaka, kwa sababu ya kuanzisha kazi bila kufikiria vizuri, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeponda kwenye pango bila ya kuwa na upinde, kwa sababu naye huanzisha kazi zinashinda uwezo wake bila kufikiria vizuri mpaka anashinda kuzimaliza, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “unaponda kwenye pango na upinde huna.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuanzisha kazi wanazoweza kuzimaliza, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Hesabu 32:30.

Hesabu 32:17.

ENGLISH: YOU ARE THROWING A STONE IN A CAVE WHILE YOU HAVE NO BOW.

Once upon a time there was a man who threw a stone into a cave without having a bow in his hands. The cave is a hole in stone in which wild animals such as hyenas, snakes, leopards and others live.

People were very surprised at him because of throwing a stone without having any resistance or armor could cause animals to come out and injure him. That is why people told him that, “you are throwing a stone in a cave while you have no bow.”

This proverb is matched to a person who starts tasks that he does not have ability to finish, in his life. Such person starts a task that is too big for him to finish, because of his inability to think clearly in his life. He is troubled by problem of poverty in his family every year, because of starting a task without thinking clearly, in his life.

This person resembles the one who trampled in a cave without a bow, because he also starts tasks that are beyond his ability without thinking carefully until he manages to finish them, in his life. That is why people say to him that, “you are throwing a stone in a cave while you have no bow.”

This proverb teaches people about being careful enough to start tasks that they can finish, so that they can achieve great success, in their lives.

Numbers 32:30.

Numbers 32:17.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.