Olihoyi munhu uyo olyaga jiliwa bho nduhu ugutumama imilimo. Umunhu ng’wunuyo oliadajaga gujutumama umilimo kunguno ya gwikalila ha kaya ahikanza ilya milimo yiniyo. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “agalyaga jagukandiwa.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alingokolo o milimo umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga wigashije ahikanza lya gutumama imilimo mpaga lyashila ilikanza linilo kunguno ya bhugokolo bhokwe bhunubho umuwikaji bhokwe. Uweyi agagayiyagwa ijiliwa aha kaya yakwe bhuli ng’waka kunguno ya bhugokolo bhokwe bhunubho ubho gwikala wigashije ahikanza lya guitumama imilimo yiniyo, umukikalile kakwe kenako.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo olyaga jiliwa bho nduhu ugutumama imilimo, kunguno nuweyi agikalaga wigashije bho nduhu gutumama imilimo mpaga lyashila ilikanza lya milimo yiniyo, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “agalyaga jagukandiwa.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza bhakamu bha gutumama milimo yabho bho gwigulambija guitumama chiza, kugiki bhadule gupandika sabho ja gutumamila umukaya jabho.
Mwanzo 50:21.
Zaburi 81:16.
Mithali 11:21.
Ezekieli 34:23.
KISWAHILI: ANAKULA CHA MASIMANGO.
Alikuwepo mtu ambaye alikuwa akila chakula bila kufanya kazi. Mtu huyo, alikuwa haendi kufanya kazi kwa sababu alikuwa akikaa nyumbani wakati wa kufanya kazi. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “anakula cha masimango.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mvivu wa kazi katika maisha yake. Mtu huyo, huutumia muda wake kwa kukaa nyumbani wakati wa kufanya kazi mpaka muda huo unapita, kwa sababu ya uvivu wake huo maishani mwake. Yeye hukosa chakula kwenye familia yake kila mwaka kwa sababu ya uvivu wake huo wa kukaa nyumbani bila kufanya kazi, katika maisha yake hayo.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyekula chakula bila kufanya kazi, kwa sababu naye hushinda akiwa amekaa nyumbani bila kufanya kazi mpaka wakati huo wa kazi unapita, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “anakula cha masimango.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kufanya kazi, kwa kujibidisha kuyatekeleza majukumu yao vizuri, ili waweze kupata mali za kutumia katika familia zao.
Mwanzo 50:21.
Zaburi 81:16.
Mithali 11:21.
Ezekieli 34:23.
ENGLISH: HE EATS THE FOOD OF INSULTS.
There was a man who ate food without working. Such man did not go to work because he was staying at home during working hours. That is why people said to him that, “he eats the food of insults.”
This saying is equaled to a person who is lazy in his life. Such man spends his time by staying at home during working hours until that time passes, because of his laziness in his life. He lacks food for his family every year because of his laziness in staying at home without working in his life.
This man resembles the one who ate food without working, because he also wins while staying at home without working until such time of work passes, in his life. That is why people said to him that “he eats the food of insults.”
This saying imparts in people an idea being diligent in working, by working hard enough to fulfill their duties well, so that they can earn wealth for their families.
Genesis 50:21.
Psalm 81:16.
Proverbs 11:21.
Ezekiel 34:23.


