Aho kale olihoyi munhu uyo wikalaga mubhutemi bho bhusiya. Umunhu ng’wunuyo olina ng’wiye uyo ondalahijaga kunguno ya libhengwe lwakwe umukikalile kakwe. Hunagwene agayomba giki “aganenhelaga igayo gumili.”
Akahayike kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu ndoshi uyo agabhadalahijaga abhiye umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adabhadegelekaga abhiye umumahoya gakwe bho gubhabhona guti bhadina masala ga guyomba mihayo ya solobho, kunguno ya bhudoshi bhokwe ubho gubhibhengwa chiniko abhiye, umuwikaji bhokwe. Uweyi agadumaga ugwikala chiza na bhanhu bha ha kaya yakwe kunguno ya bhudoshi bhokwe bhunubho ubho gubhadalahija abhiye umumahoya gakwe genayo.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo ondalahijaga ung’wiye uyo bhikalaga nanghwe, kunguno nuweyi agabhadalahijaga abhiye umumahoya gakwe genayo, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “aganenhelaga igayo gumili.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guleka bhudoshi bho gubhadalahija abhichabho umumahoya gabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.
Mithali 13:1-2.
1 Samweli 17:42.
Nehemia 1:19.
Ayubu 19:18.
Zaburi 74:18.
Mithali 14:21.
Mathayo 18:10.
KISWAHILI: ANANILETEA DHARAU MWILINI.
Hapo zamani alikuwepo mtu aliyekuwa akiishi kwenye utawala wa Busiya. Mtu huyo alikuwa akiishi na mwenzake ambaye alikuwa akimdharau kwa sababu ya majivuno yake hayo katika maisha yake. Ndiyo maana alisema kwamba, “ananiletea dharau mwilini.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aliye na majivuno ya kuwadharau wenzake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hawasikilizi wenzake katika maongezi yake kwa kuwaona kama hawana akili za kuwawezesha kuongea maneno ya maana, kwa sababu ya majivuno yake ya kuwadharau wenzake hao, maishani mwake. Yeye hushindwa kuishi vizuri na watu wa kwenye familia yake hiyo kwa sababu ya majivuno yake hayo ya kuwadharau wenzake katika maongezi yake hayo.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyemdharau mwenzake aliyekuwa akiishi naye, kwa sababu naye huwadharau wenzake katika maongezi yake, maishani mwake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “ananiletea dharau mwilini.”
Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha majivuno ya kuwadharau wenzao katika maongezi yao, ili waweze kuzilea vizuri famila zao, maishani mwao.
Mithali 13:1-2.
1 Samweli 17:42.
Nehemia 1:19.
Ayubu 19:18.
Zaburi 74:18.
Mithali 14:21.
Mathayo 18:10.
ENGLISH: HE BRINGS ME DISGRACE IN THE BODY.
Once upon a time, there was a man who lived in Busiya kingdom. Such man lived with a neighbor who despised him because of his arrogance in his life. That is why he said that, “he brings me disgrace in the body.”
This saying is paralleled to a person who is arrogant enough to despise his neighbors in his life. Such person does not listen to his neighbors in his conversation as he sees them as not smart enough to speak meaningful words because of his arrogance of despising his neighbors in his life. He fails to live well with people in his family because of his arrogance of scorning his neighbors in his conversation.
This person relates to the one who despised his neighbor who lived with him, because he also despises his neighbors in his conversation, in his life. That is why he says that, “he brings me disgrace in the body.”
This saying teaches people to about doing away with pride of belittling others in their speech, so that they can nicely raise their families, in their lives.
Proverbs 13:1-2.
1 Samuel 17:42.
Nehemiah 1:19.
Job 19:18.
Psalm 74:18.
Proverbs 14:21.
Matthew 18:10.


