Aho kale olihoyi munhu uyo agalya noni iyo itanagwa jimila nzoka. Umunhu ng’wunuyo oliadamamine igiki inoyi yiniyo idaliyagwa. Aho oilya inoyi yiniyo, agandya guyukolwa nota bho guyulomba minzi gagung’wa bhuli makanza. Uweyi agagang’wa aminzi genayo mpaga uzumalika kunguno inhumbi yakwe igokala yugabhitilija iki inota yakwe yaliadashilaga. Abhanhu bhagamana igiki olyaga noni iyo idaliyawa kunguno olombaga aminzi gagung’wa ukunu aliyomba giki, “nalyaga jimila nzoka.” Hunagwene bhagayomba giki, “olyaga didaliyagwa.”
Akahayile kenako kagalengajiyagwa kuli munhu uyo ali naku ogulya majiliwa guti onyama, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agajilyaga ijiliwa guti nyama mpaga ujimala uluojipandikaga kunguno ya bhulaku bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agikalaga ubhahuga ugulya nyama abhanhu bha ha kaya yakwe mpaga yayusata inhumbi yakwe kunguno ya bhulaku bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe kenako.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agalya noni iyo idaliyagwa ung’wa minzi mpaka uzumalike bho gokala mpaga yutilija inhumbi yakwe, kunguno nuweyi agayokajaga inhumbi yakwe bho gulya nyama mpaga yayusata, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “olyaga jidaliyagwa.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka bhulagu bho gulya jiliwa sagara mpaka bhabhitilija, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.
Walawi 11:13-19.
KISWAHILI: AMEKULA KISICHOLIWA.
Hapo zamani alikuwepo mtu aliyekula ndege anayeitwa kimeza nyoka. Mtu huyo alikuwa hajui kwamba ndege huyo haliwi. Alipo mla ndege huyo alianza kujisikia kiu kwa kuomba maji kila wakati. Yeye alikunywa maji hayo mpaga akapoteza maisha yake kwa sababu ya kujaa tumbo lake mpaka kupitiliza.
Watu waligundua kuwa amekula ndege huyo asiyeliwa kwa sababu alikuwa akiomba maji ya kunywa huku akisema “nimekula kimeja nyoka.” Ndiyo maana watu hao walisema kwamba, “amekula kisicholiwa.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mlafi wa kula chakula hasa nyama katika maisha yake. Mtu huyo, hula vyakula hivyo hasa nyama mpaka anazimaliza kila anapozipata kwa sababu ya ulafi wake huo, maishani mwake. Yeye huwapunja kula nyama watu walioko kwenye familia yake mpaga tumbo lake huanza kuuma, kwa sababu ya ulafi wake huo, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyekula ndege asiyeliwa apawa na kiu ya kunywa maji mpaka akapoteza maisha yake kwa kujaa tumbo lake zaidi ya kipimo cha kawaida, kwa sababu naye hulijaza tumbo lake kwa kula nyama mpaga linanza kuuma, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “amekula kisicholiwa.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha ulafi wa kula vyakula hovyo mpaka wanapitiliza ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.
Walawi 11:13-19.
ENGLISH: HE HAS EATEN SOMETHING WHICH IS NOT EATEN.
Once upon a time, there was a man who ate a bird called a snake swaller. Such man did not know that such bird is not eaten. After eating it he began to feel thirsty. He requested for water all the time. He drank such water to the point of losing his life because his stomach was too much full.
People realized that he had eaten the uneaten bird because he was asking for water to drink while saying “I have eaten a snake swaller.” That is why those people said that, “he has eaten which is not eaten.”
This saying is paralleled to a person who is a gluttony for food, especially meat, in his life. This person eats those foods, especially meat, until he finishes them every time he gets them because of his gluttony, in his life. He exploits people in his family by eating too much meat until his stomach starts to give pain to him, because of his gluttony, in his life.
This person is like the one who ate an uneaten bird until he became thirsty for water by drinking it to the point of he losing his life after filling his stomach beyond the normal limit, because he also fills his stomach by eating too much meat, in his life. That is why people say to him that, “He has eaten something which is not eaten.”
This proverb teaches people on how to stop eating too much food so that they can properly feed their families, in their lives.
Leviticus 11:13-19.


