Lufu lo mbudika kali kachile ka ng’wa munhu uyo adasadile. Ulunulo luli lufu lo gung’wisanganija munhu uyo oliadiganika ahi gulya ya gucha gokwe. Umunhu ng’wunuyo agisanganijiyagwa nu lufu lunuyo kunguno ya guduma nulu guleka shandikwa ja kagabhaninhile ka sabho jakwe. Hunagwene abhanhu bhagalwitanaga giki, “lufu lo mbudika.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agisanganijiyagwa ni milimo yakwe bho nduhu ugwibhegeleja chiza umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga wiyibhile ugwigeyageya ni milimo yakwe iyo yigelelilwe aitumame chiza, kunguno ya wilendeja bhokwe bhunubho. Uweyi agabhitagwa nilikanza ilya guitumama chiza imilimo yakwe yiniyo kunguno ya wilendeja bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agisanganijiwa nulu lufu, kunguno nuweyi agilendeleja mpaga wisanganijiwa ni milimo yakwe, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “lusu lo mbudika.”
Akahahile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhuhuguku bho guleka gwilendeja uguitumama chiza imilimo yabho ulu lyashikaga ilikanza lyayo, kugiki bhadule gupandika sabho ningi, umuwikaji bhobho.
Mathayo 24:44.
Luka 12:40.
KISWAHILI: KIFO CHA GHAFULA.
Kifo cha ghafula ni namna ya kufa kwa mtu bila kuumwa. Hicho ni kifo cha kumshitukiza mtu ambaye hafikirii juu ya kufa kwake. Mtu huyo hushitukizwa na kifo hicho kwa sababu ya kushindwa hata kuandika wosia wa namna ya kuzigawana mali zake. Ndiyo maana watu hukiita kwamba ni “kifo cha ghafula.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hukutwa na muda ya kuzitekeleza kazi zake mhimu bila ya kuwa na maandalizi mazuri, maishani mwake. Mtu huyo, hujisahau kufanya maandalizi ya kuyatelekeza majukumu yakwe mpaka muda wake unamfikia bila ya kujiandaa, kwa sababu ya kujisahau kwake, katika maisha yake. Yeye hupitwa na muda wa kuyatekeleza majukumu ya kwenye familia yake bila ya kufanya lolote kwa sababu ya kujisahau kwake huko, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyekutwa na kifo kwa kushitukizwa, kwa sababu naye hujisahau kufanya maandalizi ya kuyatekeleza vizuri majukumu yake mpaka muda wake unamfikia, bila ya kufanya kitu chochote, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita jina la “kifo cha ghafula.”
Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na uelewa wa kufanya maandalizi ya kutosha kuyatekeleza vizuri majukumu yao yajayo, ili waweze kupata mali nyingi, maishani mwao.
Mathayo 24:44.
Luka 12:40.
ENGLISH: SUDDEN DEATH.
A sudden death is a manner of dying without getting sick of long time. It is a death that surprises a person who does not think about his death. This person is surprised by such death because of failing to even write a will on how to divide his/her belongings. That is why people call it a “sudden death.”
This saying is matched to a person who finds time to carry out his important tasks without having respectable preparations, in his life. This person forgets to make preparations of abandoning his responsibilities until his time comes to him without preparing it, because of his forgetfulness, in his life. He misses time to carry out his family responsibilities by staying without doing anything because of his forgetfulness, in his life.
This person resembles the one who was surprised by death, because he also forgets to make decent enough preparations to carry out his responsibilities well until his time comes to him, without doing anything, in his life. That is why people call it a “sudden death.”
This proverb imparts in people an idea of understanding to make adequate preparations enough to fulfill their future responsibilities well, so that they can gain many riches in their lives.
Matthew 24:44.
Luke 12:40.


