1361. NG’WENE ALINA LUZUMBA.

Imbuki ya kahayile kenako yihoyelile bhuzengi bho luzumba bho ng’wa munhu nhebhe. Uluzumba ili numba ya ngoko iyo ili ndololo noyi. Umunhu ng’wunuyo agazenga akaluzumba kenako mpaka ukamala chiza. Aliyo lulu uweyi agayingila moyi bho gukoyakoya noyi kunguno ya bhudololo bho kaluzumba kenako. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “ng’wene alina luzumba.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo yakwe nyanigini, aliyo alintale, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agajaga ukumilimo yakwe ugatumama hadoo duhu wandya guyigusha kunguno ya gwiganika nyanigini gokwe chiniko, umuwikaji bhokwe. Uweyi agagayiyagwa ijiliwa aha kaya yakwe bhuli ng’waka kunguno ya gutumama hadoo imilimo yakwe wandya gwigusha, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agazenga kaluzumba kadololo ka ngoko, kunguno nuweyi agatumamaga hadoo duhu imilimo yakwe wandya gwigusha umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ng’wene alina luzumba.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guleka gutumama nyanigini imilimo yabho bho gwigumbija guitumama imilimo yiniyo nyatale, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho bhunubho.

1 Wakorintho 3:9-12.

KISWAHILI: HUYU ANA KAJUMBA.

Chanzo cha msemo huo huongelea ujengaji wa kajumba wa mtu fulani. Kajumba hako ni nyumba ya kuku iliyo ndogo sana. Mtu huyo alijenga kajumba hako mpaka akamaliza vizuri. Lakini basi aliingia mule kwa shida sana kwa sababu ya udogo wa kajumba hako. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “huyu ana kajumba.”

 Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi zake kitoto, wakati yeye ni mtu mzima, katika maisha yake. Mtu huyo, huenda kufanya kazi zake kidogo tu na kuanza kucheza kama mtoto mdogo kwa sababu ya kufikiri kitoto kwake huko, maishani mwake. Yeye hukosa chakula kwenye familia yake hiyo kwa sababu hiyo ya kufanya kazi zake kwa muda mfupi tu na kuanza kucheza, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo hufanana na yule aliyejenga kajumba kadogo ka kuku, badala kujenda nyumba ya kumtosha kuishi yeye, kwa sababu naye hufanya kazi zake kidogo tu na kuanza kucheza, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “huyu ana kajumba.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha kufanya kazi zao kitoto kwa kujibidisha kuyatekeleza majukumu yao yote kikubwa, ili waweze kupata mafanikio mengi maishani mwao.

1 Wakorintho 3:9-12.

 

ENGLISH: THIS ONE HAS A HUT.

A starting point of this saying refers to a construction of a person’s hut. This hut was a very small chicken coop. Such person built his hut until he finished it well. But then he entered it with great difficulty because of such smallness of it. That is why people said to him that, “this one has a hut.”

This saying is matched to a person who does his childish work while he is an adult in his life. This person goes to do his work only a little and starts playing like a little child because of thinking as a child in his life. He lacks food at his family because of that doing his work only for a short time and starting to play in his life.

This person resembles the one who built a small chicken coop instead of building a house that is big enough for him to live in, because he also does his work only a little and starts to play in his life. That is why people say to him that, “this one has a hut.”

This adage imparts in people an idea of stopping doing their childish work by striving to fulfill all their responsibilities seriously, so that they can achieve great success in their lives.

1 Corinthians 3:9-12.

 

hut-277233_1280

hut-277229_1280

house-1838361_1280

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.