Imbuki ya lusumo lunulo ilolile munhu uyo ojaga kumasaga ogita jito jilebhe bhuli makanza umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agibhisaga ukumasaga kunuko kunguno ya gwita ginhu ijo oliadahayile abhiye bhajimane. Uweyi witaga chene mpaka umala inguzu ja gutumama imilimo bho nduhu gupandika munhu ogung’wimbilija aha shigu ja kubhutongi. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “ulayizuka iya mpilimo nulu iyagumasaga.”
Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina kajile kabhub’i umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agitaka mihayo ya bhub’i iyo ilikihamo na bhujingi, bhushiya, wiyungi bho nduhu gubhiza na wikalo nulu bhana, kunguno ya kajile kakwe akabhub’i kenako umuwikaji bhokwe. Uweyi agayiyaga abhanhu bha gung’wambilija umubhukuji bhokwe kunguno ya gwita mihayo ya bhub’i yiniyo, umukikalile kakwe.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo witaga mihayo yakwe bho gwibhisa mumasaga mpaga ukula adinang’wambilija, kunguno nuweyi agitaga jito jabhub’i mpaga nose okula bho nduhu kupandika bhana bhagung’wimbilija, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ulayizuka iya mpilimo nulu iyagumasaga.”
Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na nhungwa ja gwita mihayo ya wiza iyagubhambilija gubheja kaya chiza kugiki bhadule kupandika bhana nulu bhanhu bha gubhambilija aha shigu ijahabhutongi, umuwikaji bhobho bhunubho.
1Wakorintho 15:33.
1Wakorintho 3:16-17.
Zaburi 127:3.
1Wakorintho 6:19-20.
KISWAHILI: UTAIKUMBUKA YA NYUMA AU YA VICHAKANI.
Chanzo cha methali hiyo chaangalia mtu aliyekuwa akienda vichakani mara nyingi, maishani mwake. Mtu huyo, alikuwa akijificha vichakani huko kwa sababu alifanya kitu fulani ambacho hakutaka wenzake wakifahamu. Yeye aliendelea kufanya hivyo mpaga akamaliza nguvu za kufanya kazi zake bila ya kupata mtu wa kumsaidia katika siku za mbeleni. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “utaikumbuka ya nyuma au ya vichakani.”
Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana mwenendo wa kutenda maovu, katika maisha yake. Mtu huyo, hutenda maovu ambayo ni pamoja na uzinzi, uasherati, kudhurura hivyo mpaka anafikia hali ya kutokuwa na makao wala watoto kwa sababu ya tabia yake hiyo ya kutenda maovu, maishani mwake. Yeye hukosa watu wa kumsaidia katika maisha yake ya uzeeni mwake, kwa sababu ya kutumia muda wake kwa kutenda maovu hayo, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyetenda matendo yake kwa kujificha vichakani mpaka akafikie umri wa uzeeni bila ya kupata mtu wa kumsaidia, kwa sababu naye hutenda maovu mpaka anafikia umri huo wa uzeeni bila ya kupata mtoto au watu wa kumsaidia, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “utaikumbuka ya nyuma au ya vichakani.”
Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na tabia ya kutenda mema yatakayowasaidia kuwa na familia zenye maadili mema, ili waweze kupata watoto au watu wa kuwasaidia katika siku zao za mbeleni, maishani mwao.
1Wakorintho 15:33.
1Wakorintho 3:16-17.
Zaburi 127:3.
1Wakorintho 6:19-20.

ENGLISH: YOU WILL REMEMBER THOSE OF THE BACK OR BUSHES.
The origin of this proverb refers to a person who used to go to the bushes several times in his life. He hid in those bushes because of doing something which he did not want his companions to recognize. He carried on doing so until he exhausted his strength of working without getting anyone who can support him in the future. That is why people told him that, “you will remember those of the back or bushes.”
This proverb is equaled to a man who has a tendency of committing wicked actions in his life. This person commits immoral deeds such as adultery, fornication, and causing harm to others until he reaches a state of having no home or children because of his habit of committing those evil actions in his life. He lacks people who can support him in his old age, because of spending his time by committing those wicked actions in his life.
This person resembles the one who did his actions by hiding in the bushes until he reached old age without having anyone who can support him, because he also does wicked actions until he reaches that old age without having a child or people to aid him in his life. That is why people say to him that, “You will remember those of the back or bushes.”
This proverb teaches people about having a decent custom that will aid them in getting families which have decent morals, so that they can find children or people who can aid them in their future days in lives.
1 Corinthians 15:33.
1 Corinthians 3:16-17.
Psalm 127:3.
1 Corinthians 6:19-20.