1344. GANGALA YA MAYOB’E.

Aho kale olihoyi munhu uyo oliosuga mayob’e aha kaya yake. Amayob’e genayo galigadalendaga aha kaya yakwe yiniyo kunguno ya gwikala gagulyaga jiliwe bhuli makanza. Agoyi gang’witilaga yombo bhuli makanza ung’wenego kunguno ya gukija gwifula ugudima. Hungwene abhanhu bhagagitana giki “gangala ya mayob’e.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adalendaga aha kaya yakwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga uyela muma kaya gabhanhu agucholaga jiliwa na guhoya bho nduhu nulu gutumama milimo aha ng’wakwe henaho umuwikaji bhokwe. Uweyi agadumaga uguilela chiza ikaya yakwe kunguno ya gwikala aguyungaga muma kaya ga bhangi, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na mayob’e ayo galigadalendaga aha kaya, kunguno nuweyi agikalaga uyela muma kaya ga bhangi, bho nduhu uguitumama imilimo ya aha kaya yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “gangala ya mayob’e.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwidiba mukaya jabho bho nduhu guyunga sagala muma kaya ga bhanhu, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.

Zaburi 15:1-.

Zaburi 36:10.

Mithali 11:13.

Tito 2:10.

KISWAHILI: GHASIZA ZA PUNDA.

Hapo zamani alikuwepo mtu aliyefuga punda kwenye familia yake. Punda hao walikuwa wakitembea hovyo bila kutulia nyumbani kwa sababu ya kutokupumzika kula. Wenyewe walikuwa wakiwapigia kelele kila wakati kwa sababu ya kutokupumzika kula. Ndiyo maana watu waliwapa jina la “ghasia za punda.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa hatalii kwenye familia yake katika maisha yake. Mtu huyo, huwa anazurura kwa kutembelea nyumba za watu akitafuta chakula bila kufanya kazi katika familia yake hiyo, maishani mwake. Yeye hushindwa kuilea vyema familia yake kwa sababu ya kutumia hovyo muda katika kutembelea watu wengine, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na wale punda waliokuwa wakitembea hovyo bila ya kutulia nyumbani, kwa sababu naye hupoteza muda wake kwa kuwatembelea wenzake bila ya kufanya kazi nyumbani. Ndiyo maana watu humuita jila la “ghasia za punda.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kutulia kwenye familia zao bila ya kupoteza muda wao kwa kuwatembelea watu hovyo, ili waweze kuzilea vyema familia zao hizo, maishani mwao.

Zaburi 15:1-.

Zaburi 36:10.

Mithali 11:13.

Tito 2:10.

 

ENGLISH: DONKEY RUDE.

Once upon a time, there was a man who kept donkeys in his family. These donkeys used to wander around without resting at home because they did not stop eating. They themselves used to shout at them all the time because of using all time for eating. That is why populaces called them “donkey rude.”

This saying is equated to a person who does not stay well with his family in his life. This person always wanders around visiting people’s houses looking for food to eat without working in his family. He fails to nurture his family well because he spends his time by visiting other folks, in his life.

This person resembles those donkeys who wandered around without resting at home, because he also wastes his time by visiting his colleagues without working at his home. That is why individuals call him the “donkey rude.”

This saying teaches people about settling down in their families without wasting their time by visiting public, so that they can rear their family members well in their lives.

Psalm 15:1-.

Psalm 36:10.

Proverbs 11:13.

Titus 2:10.

 

donkeys-5576167_1280

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.