1312. JISHIGA MBITI.

Jishiga mbili bhuli walwa ubho bhugasizagwa makanza ga hilu aho ilimi lya lengela. Uwalwa bhunubho bhugitangwa giko kulongulo gugang’wiyagwa hilu aho mbiti jitali gwandya gufumila guja gujicholela jiliwa. Ubhoyi bhulijimanyikijo ukuli nsizi ja gumana igiki uwalwa bhunubho, bhulipya nulu nduhu. Hunagwene abhanhu bhagawitanaga giki, “jishiga mbiti.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo aganguhaga gutumama milimo yakwe na guidebha wangu ulu giki ilija chiza nulu nduhu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agamishaga diyu agaitumama chiza imilimo yakwe mpaga oyidebha igiki ilija chiza kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi apandikaga sabho ningi bhuli ng’waka aha kaya yakwe kunguno ya witegeleja bhokwe ubho gwanguha guitumama milimo yakwe chiza mpaga uyimala, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu walwa ubho bhugasizagwa na gung’wiwa hilu aho bhutali ugwila ubhujiku, kunguno nuweyi aganguhaka uguitumama imilimo yakwe mpaga uyimala chiza, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki “jishiga mbiti.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gwanguha guitumama milimo yabho chiza mpaga bhayimala, kugiki bhadule gupandika sabho ja gubhagunana ugujibheja chiza ikaya jabho.

Mathayo 25:1-12.

Warumi 13:11-14.

Mathayo 24:42-44.

KISWAHILI: KISWAHI FISI.

Kiwahi fiki ni pombe ambayo hutengenezwa wakati wa jioni kabla ya jua kuchwea. Pombe hiyo, huitwa hivyo kwa sababu watu huinywa mapema kabla fisi hawajaanza kutoka kwenda kujitafutia chakula. Yenyewe huwa ni kijulisho cha kuelewa kama pombe hiyo itaiva au hapana. Ndiyo maana watu huiita jina la “kiwahi fisi.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwahi kuzifanya kazi zake na kuziewa mapema kama zitaleta faida au hapana, katika maisha yake. Mtu huyo, huamka asubuhi na kwenda kutekeleza vizuri kazi zake mpaka anazielewa kama zitamletea faida au la, kwa sababu ya umakini wake huo, maishani mwake. Yeye hupata mali nyingi kwenye familia yake kila mwaka kwa sababu ya umakini wake wa kuwahi kuzitekeleza vizuri kazi zake hizo, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo hufanana na ile pombe ya kutengenezwa na kutumiwa mapema kabla ya kuingia usiku, kwa sababu naye huwahi kuzitekeleza vizuri kazi zake mpaka anafanikiwa kupata mali nyingi katika familia yake, kila mwaka, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita jila la “kiwahi fisi.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuwahi kuyatekeleza vizuri majukumu yao, ili waweze kupata mali za kutosha kuwasaidia katika kuziendeleza vizuri, familia zao.

Mathayo 25:1-12.

Warumi 13:11-14.

Mathayo 24:42-44.

ENGLISH: WHAT HAS EVER BEEN EARLY HYENAS

This saying is about an alcohol which is made by people in the evening time before sunset. This alcohol is called ‘what has ever been early hyenas’ because people drink it early before hyenas start to go out looking for food. It is a sign which helps consumers to understand whether such liquor will be ripe or not. That is why people call it “what has ever been early hyenas.”

This saying is paralleled to a man who always does his work and thinks early whether it will bring profit or not, in his life. Such man wakes up in the morning and goes to carry out his works well until he understands whether they will bring profit or not, because of his thoughtfulness in his life. He earns a lot of wealth for his family every year because of his active responsiveness enough to always carry out his works well in his life.

This man is similar to the alcohol that is made and consumed early before nightfall, because he also always carries out his works well until he succeeds in obtaining a lot of wealth for his family every year in his life. That is why people call him the “what has ever been early hyenas.”

This saying imparts in people an idea of being so careful enough to fulfill their responsibilities well, so that they can earn a lot of wealth enough to support them in running their families.

Matthew 25:1-12.

Romans 13:11-14.

Matthew 24:42-44.

 

 

hyena-1022409_1280

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.