Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile lizub’ilo lya jisumva ja muminzi. Ilizub’ilo lilinilo lilitegelo lya Shi ilo ligikalaga lilugoye lib’egejije ndob’ano ja bihi bihi. Ilyoyi ululyugaponejiwa ng’witab’a ligazub’iga josejose ijo jilihoyi moyi guti mbulu, nzoka na jingi jingi ijamu minzi. Ijo jigazub’agwa jinijo jigagagondaga amazub’ilo. Hunagwene abhanhu bhagajitanaga giki, “luganda mazub’ilo.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agasolelejaga mihayo yoseyose niyabhubhi, umahoya gakwe. Umunhu ng’wunuyo, agayombaga mihayo yose yose umumahoya gakwe ni ya bhulomolomo mumo bho nduhu uguitegeleja chiza kunguno alina nhungwa jabhubhi, umukikalile kakwe. Uweyi agabhalisanyaga abhanhu bhaha kaya yakwe kunguno ya nhungwa jakwe ija bhubhi jinijo, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga ni lizub’ilo lya ndilo ilo ligazub’aga josejose ijo jilimuminzi, kunguno nuweyi agasolelejaga mihayo yoseyose ni mib’i umumahoya gakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “lugonda mazub’ilo.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na nhungwa jawiza ijagumbilija uguitegeleja chiza imihayo yabho haho bhatali uguyiyomba kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.
Warumi 12:9-11.
1Thimotheo 4:2-3.
KISWAHILI: AKUNJAYE MITEGO.
Chanzo cha msemo huo huongelea mitego ya viumbe vya majini. Mtego huo ni zana ya kuvulia samaki ambayo huwa na kamba ndefu iliyotegenezewa ndoano za karibu karibu. Wenyewe ukitupwa kwenye bwawa hukamata chochote kilichomo humo, kama vile kenge, nyoka na vingine vingi viishivyo majini. Vile vilivyokamatwa huweza kuukunja mtego huo. Ndiyo maana watu huviita jina la, “mkunja mitego.”
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huokoteza maneno yoyote yakiwemo ya uongo katika maongezi yake. Mtu huyo, huongea maneno yoyote yakiwemo yale ya uongo katika maongezi yake, kwa sababu anatabia mbaya katika maisha yake. Yeye huwagombanisha watu waiishio katika familia yake kwa sababu ya tabia yake hiyo mbaya ya kuongea maneno ya uongo maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na ule mtego wa samaki uliokamata chochote kinachoishi majini, kwa sababu naye huokoteza na kuyaongea maneno yoyote yakiwemo yale ya uongo, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita jina la “akunjaye mitego.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na tabia njema ya kuwawezesha kuongea maneno yao kwa umakini mkubwa katika maongezi yao, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.
Warumi 12:9-11.
1Thimotheo 4:2-3.
ENGLISH: THE TRAPS TWISTER
The origin of this saying refers to trap of aquatic creatures. This trap is a fishing tool that has a long rope which is made of hooks that are close together. When it is thrown into a pond, it catches anything in it, such as leeches, snakes and many other aquatic beings. Those caught ones can twist the trap. That is why people call it, “the traps twister.”
This saying is matched to a person who twists any word, including dishonest ones in his communication. Such person speaks deceitful words, in his dialogue because of having wicked wont in his life. He causes conflict among people who live in his family because of his evil pattern of speaking indelicate words in his life.
This person is similar to the fish trap that catches anything that lives in water, because he also twists any word by speaking fabricated ones in his life. That is why people call him, “the traps twister.”
This saying instills in people an idea of having good manners that enable them to speak their words with great care in their conversations, so that they can raise their families well in their lives.
Romans 12:9-11.
1 Timothy 4:2-3.


