1262. LYAGA MANDEGE UDEGELEKE BHANHU.

Aho kale olihoyi munhu uyo agalima ngunda go mandege ugapandika mingi aha kaya yake. Umunhu ng’wunuyo, agayugalya amandege genayo bho nduhu ugubhalonja abhiye abho wikalaga nabho kunguno ya wiminholo bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe. Uweyi agoya nugubhadegeleka abhanhu bhakwe bhenebho. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “lyaga mandege udegeleke bhanhu.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agapandikaga sabho wandya gubhadosa abhiye umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agajipandikaga isabho oya ugubhadegeleka abho bhalilomba wambilija bhokwe, kunguno ya bhudoshi bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agadumaga uguilela chiza ikaya yakwe kunguno ya bhudoshi bhokwe bhunubho ubho agabholechaga ukubhiye ulu opajindika isabho jinijo, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agalima ngunda go mandege ugabisha mingi, mpaga oya ugubhadegeleka abhiye, kunguno nuweyi agajipandikaga isabho odosa mpaga oya ugubhadegeleka abhanhu abho bhalichola wambilija bhokwe, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “lyaga mandege udegeleke bhanhu.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka gubhadosa abhichabho ulupandika sabho ningi, umubhutumami bhobho, kugiki bhadule kujilanhana chiza ikaya jabho jinijo, umuwikaji bhobho.

Mithali 3:18.

Yeremia 13:11a.

Waebrania 3:14-15.

Waebrania 3:6.

KISWAHILI: KULA MAHINDI USIKILIZE WATU.

Hapo zamani alikuwepo mtu ambaye alilima shamba la mahindi akapata mahindi mengi kwenye familia yake. Mtu huyo, alianza kuyala mahindi hayo bila ya kuwajali wenzake aliokuwa akiishi nao kwa sababu ya uchoyo wake huo, katika maisha yake. Yeye aliacha hata kuwasikiliza watu wake hao. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “kula mahindi usikilize watu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hupata mali na kuanza kuwalingia wenzake katika maisha yake. Mtu huyo, hupata mali hizo na kuacha kuwasikiliza wale wanaoomba msaada wake, kwa sababu ya majivuno yake hayo, maishani mwake. Yeye hushindwa kuilea vyema familia yake hiyo kwa sababu ya majivuno yake hayo ayaoneshayo kwa wenzake apatapo mali nyingi, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyelima shamba la mahindi akapata mengi mpaga akaacha kuwasilikiza wenzake, kwa sababu naye hupata mali nyingi na kuacha kuwasikiliza wale wanaohitaji masaada wake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “kula mahindi usikilize watu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha kuwalingia watu wanapopata mali nyingi, katika utekelezaji wa majukumu yao, ili waweze kuzilinda vizuri familia zao, maishani mwao.

Mithali 3:18.

Yeremia 13:11a.

Waebrania 3:14-15.

Waebrania 3:6.

ENGLISH: EAT MAIZE LISTEN TO THE PEOPLE.

Once upon a time there was a man who cultivated a corn field and got a lot of corns for his family. This person started eating the corns without caring about his colleagues whom he lived with because of his greed, in his life. He stopped even listening to his people. That is why people told him that, “eat maize listen to people.”

This saying is compared to a person who looks down on his colleagues after becoming rich in his life. Such person, gets those assets and stops listening to those who ask for his help, because of his pride, in his life. He fails to raise his family well because of his pride that he shows to his colleagues after getting a lot of wealth in his life.

This person is like the one who stopped communicating with his colleagues after getting a lot of corns, because he also stopped listening to those who need his help after getting a lot of wealth in his life. That is why people tell him that, “eat maize listen to people.”

This saying teaches people to stop pride of looking down at people after getting a lot of wealth in fulfilling their duties, so that they can protect their families well, in their lives.

Proverbs 3:18.

Jeremiah 13:11a.

Hebrews 3:14-15.

Hebrews 3:6.

healthy-5163926_1280

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.