Imbuki ya lusumo lunulo ihoyelile higulya ya bhushigani bho nigini hikanza lya gulya jiliwa. Unigini ulu obyalwa agatumilaga mabhele kunguno agabhizaga adina mino agagudula gulya jiliwa. Giko lulu, uluguzwa amino gakwe agandyaga ugulya ijiliwa kihamo na bhanhu abhatale. Agisangijaga mligele lya bhanhu bhatale. Hunagwene abhanhu bhenabho, bhagayombaga giki, “dagelanilile bhose hauzoga lwa minzi.”
Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhali na ng’wigwano go gubhakalibhusha abhichabho abho bhashiganile gwingila muluganda lobho, umukikalile kabho. Abhanhu bhenabho, bhagisumbyaga bhabhakalibhusha abhichabho abho bhashiganile ugwingila umuluganda lobho lunulo, kunguno ya ng’wigwano gobho ugogutumama milimo kihamo chiniko, umuwikaji bhobho. Abhoyi bhagapandikaga matwajo mingi umukaya jabho kunguno ya ng’wigwano gobho gunuyo ugogutumama milimo yabho kihamo umukikalile kabho kenako.
Abhanhu bhenabho bhagikolaga nabho bhagankalibhusha nigini gulya kihamo nabho aho gazwa amino gakwe, kunguno nabhoyi bhagabhakalibhushaga umuluganda lobho abhichabho abho bhashikanile ugwingila moyi, umuwikaji bhobho. Hunagwene bhagayombaga giki, “dagelanilile bhose hauzoga lwa minzi.”
Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na ng’wigwano go gwikalibhusha kutumama milimo yabho kihamo, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umukaya jabho jinijo.
Kutoka 2:16-19.
2Wafalme 9:17.
Ayubu 21:11.
KISWAHILI: TUMEKUTANIKA WOTE KWENYE MTUNGI WA MAJI.
Chanzo cha methali hiyo huongelea juu ya ufikaji wa muda wa kula chakula kwa mtoto. Mtoto akizaliwa hutumia maziwa kwa sababu ya kutokuwa na meno ya kumwezesha kula chakula. Hivyo basi, akiota meno yake huanza kula chakula pamoja na watu wazima. Yeye huingia kwenye kundi la watu wazima. Ndiyo maana watu hao husema kwamba, “tumekutanika wote kwenye mtungi wa maji.”
Methali hiyo, hulinganishwa kwa watu wale ambao wanaushirikiano wa kuwakalibisha wenzao wale waliofikia hatua ya kuingia kwenye kundi lao, katika maisha yao. Watu hao, hukusanyika kwa lengo la kuwakaribisha wenzao hao waliofikia kipindi cha kuingia kwenye kundi lao hilo, kwa sababu ya uelewano na ushirikiano wao huo wa kufanya kazi zao kwa pamoja, maishani mwao. Wao hupata mafanikio mengi katika familia zao hizo kwa sababu ya uelewano na ushirikiano wao huo, katika maisha yao.
Watu hao, hufanana na wale waliomkaribisha mtoto kula pamoja nao alipoota meno, kwa sababu nao huwakaribisha wenzao wale waliofikia muda wa kuingia kwenye kundi lao, maishani mwao. Ndiyo maana wao husema kwamba, “tumekutanika wote kwenye mtungi wa maji.”
Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na ushirikiano wa kukaribishana kufanya kazi zao kwa pamoja na uelewano, ili waweze kupata mafanikio mengi katika familia zao hizo, maishani mwao.
Kutoka 2:16-19.
2Wafalme 9:17.
Ayubu 21:11.
ENGLISH: WE ARE ALL GATHERED AT THE WATER JAR.
The source of the overhead proverb talks about an arrival of time for eating food for a child. When a child is born, it uses milk because it does not have teeth to enable it to eat. So, when he grows his teeth, he starts eating food with adults. He joins the group of adults. That is why those people say that, “we are all gathered in a water jar.”
This proverb is related to people who have a partnership of bullying their fellows who have reached the point of entering their group, in their lives. Those people, gather with an aim of welcoming those colleagues who have reached the period of entering their group, because of their understanding and cooperation for doing their works together, in their lives. They get a lot of success in their families because of their understanding and cooperation in their lives.
Those people are similar to those who invited a child to eat with them when he had teeth, because they also welcome their nobles who have reached the time of entering their group, in their lives. That is why they say that, “we have all gathered in a water jar.”
This proverb imparts in people an idea of having strong cooperation enough to welcome each other in doing their works together with understanding, so that they can get a lot of success in their families in their lives.
Exodus 2:16-19.
2 Kings 9:17.
Job 21:11.
