Imbuki ya kahayile kenako ilolile bhulagiji bho jitungulu bho ng’wa munhu nhebhe. Umunhu ng’winuyo agasanga abhiye bhalimalija gulya jiliwa jasagaga jigehu duhu.
Ijiliwa ijigehu jinijo jigalenganijiyagwa na jitunduhu ja nhumbi kunguno jili gung’wisho go mili go ng’wumbi yiniyo. Uweyi agagelela gulya jutundulu duhu ugalala. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “agalagila jitundulu gete.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agakelejaga ugushika uko milimo yakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agajaga ukumilimo yakwe bho gukeleja bhuli lushiku kunguno ya bhukokolo bhokwe bhunubho. Uweyi agadumaga ugupandika ijiliwa ija guilisha ikaya yakwe bhuli ng’waka kunguno ya gukeleja ugulima chiniko umuwikaji bhokwe bhunubho.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agasanga bhalimalija ugulya abhiye, ugelela jitundulu duhu, kunguno nuweyi agakelejaga uguja ukumilimo yakwe mpaka nose oduma ugupandika ijiliwa bhuli ng’waka. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “agalagila jitundulu gete.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwanguha ugujutumama imilimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umutumami bho milimo yabho yiniyo, umuwikaji bhobho.
KISWAHILI: ALISHINDIA KIWILIWILI CHA MWISHONI KABISA.
Chanzo cha msemo huo, huangalia ushindiaji wa kiwiliwili wa mtu fulani. Mtu huyo, aliwakuta wenzake wakimalizia kula chakula kikiwa kimebakia kidoto tu.
Chakula hicho kidogo, hulinganishwa na kiwiliwili cha panzi ambacho kiko sehemu ya mwisho wa mwili wa panzi huyo. Yeye alikomea kula kiwiliwili hicho tu akalala. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “ameshindia kiwiliwili cha mwishoni kabisa.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huchelewa kufika kwenye kazi zake, katika maisha yake. Mtu huyo, huenda kwenye kazi zake hizo kwa kuchelewa kila siku kwa sababu ya uvivu wake huo. Yeye hushindwa kupata chakula kingi kila mwaka kwa sababu ya kuchelewa kulima kwake huko kwenye familia yake hiyo.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyewakuta wenzake wakila akakomea kula kiwiliwili tu, kwa sababu naye huchelewa kwenda kwenye kazi zake mpaka mwishowe anashindwa kupata chakula cha kutosha kila mwaka. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “ameshindia kiwiliwili cha mwishoni kabisa.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwahi kwenda kuyatekeleza majukumu yao, ili waweze kupata mafanikio mengi katika kazi zao hizo, maishani mwao.
ENGLISH: HE TRULY SPENT THE WHOLE DAY AFTER EATING JUST A LAST BODY PART.
This saying looks at spending day of a certain person who ate a small portion of food. Such man found his colleagues finishing eating who only ate a small left portion.
This little portion of food is equated to a body of a grasshopper which is at an end of its body. He only ate that body and fell asleep. That is why people said that, “he truly spent the whole day after eating just a last body part.”
This saying is related to a person who is always late to his works in his life. Such person goes to his work late every day because of his laziness. He fails to get much food every year because of such delay in his family farming.
This person is like the one who found his colleagues finished eating food who ate only the small last body part, because he is also late to his works until finally he fails to get enough food every year. That is why people tell him that, “he truly spent the whole day after eating just a last body part.”
This saying teaches people about ever going to carry out their duties on time, so that they can get a lot of success in their works, in their lives.
