Akahayile kenako kahoyelile wilenganija bho ng’wa munhu ni we. Olihoyi munhu uyo wilenganijaga ni we kunguno ya gugwiganikila umili gokwe giki gulindamu guti liwe umuwikaji bhokwe. Hunagwene ooyombaga giki, “nalingala iwe.”
Akahayile kenako, kagaleganijiyagwa kuli munhu uyo alina na bhudula bho gutumama nimo ndamu umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agatumamaga milimo midamu bho gutumila nguzu ningi na wiyumilija bhutale kunguno ya bhukamu bhokwe bhunubho. Uweyi agapandikaga sabho ningi aka hakaya yakwe yiniyo kunguno ya wiyumilija bhokwe bhunubho, umubhutumami bho milimo yakwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo wiganikagaga giki umili gokwe guli ndamu guti iwe, kunguno nuweyi agatumamaga milimo yakwe bho nguzu ningi na wiyumilija bhutale umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “nalingala iwe.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwigulambija gutumama milimo yabho bho nguzu ninyi na wiyumilija bhutale, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umukaya jabho.
Wagalatia 5:22.
Waefeso 5:12-14.
2Timotheo 3:10.
KISWAHILI: MIMI JIWE.
Msemo huo huongelea juu ya kujifananisha kwa mtu na jiwe. Alikuwepo mtu aliyekuwa akijifananisha na jiwe kwa sababu ya kufikiria kuwa mwili wake ni mgumu kama jiwe maishani mwake. Ndiyo maana alisema kwamba, “mimi jiwe.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana uwezo kwa kufanya kazi ngumu katika maisha yake. Mtu huyo, hufanya kazi ngumu kwa kutumia nguvu nyingi na uvumilivu mkubwa kwa sababu ya bidii yake hiyo. Yeye hupata mali nyingi kwenye familia yake hiyo kwa sababu ya uvumilifu wake huo wa kufanya kazi, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyeufikiria mwili wake kuwa ni mgumu kama jiwe, kwa sababu naye hufanya kazi zake kwa nguvu nyingi na kwa uvumilivu mkubwa, maishani mwake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “mimi jiwe.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi zao kwa nguvu na uvumilivu mkubwa, ili waweze kupata mafanikio mengi, katika familia zao.
Wagalatia 5:22.
Waefeso 5:12-14.
2Timotheo 3:10.
ENGLISH: I AM A STONE.
The overhead saying talks about comparing a person to a stone. There was a man who compared himself to a stone because he thought that his body was as hard as a stone in his life. That is why he said that, “I am a stone.”
This saying is paralleled to a person who has an ability of doing hard works in his life. Such person does hard works with a lot of energy and patience because of his hard working. He gets a lot of wealth in his family because of his perseverance in his daily works.
This person is similar to the one who thought that his body was as hard as a stone, because he also does his daily works with great strength and great patience, in his life. That is why he says that, “I am a stone.”
This saying teaches people about forcing themselves to do their daily works with strength and great patience, so that they can get a lot of success, in their families.
Galatians 5:22.
Ephesians 5:12-14.
2 Timothy 3:10.


