1243. KALANGULAGA GITI NHANA NOI.

Aho kale olihoyi munhu uyo wikalaga muchalo ja Ng’watuju. Umunhu ng’wunuyo, osiminzaga alangulile bho nduhu nugubhagisha abhanhu abho otung’wanaga nabho umunzila yakwe kunguno guhaya gwanguha gushiga ukumilimo yakwe. Hunagwene abhanhu bhaganyomba giki, “kalangulaga giti nhana noi.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu ndoshi uyo adahoyaga na bhiye chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agadililaga milimo yakwe bho guleka ugubhayombya abhanhu abho agikalaga nabho, kunguno ya bhudoshi ghokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agagayiyagwa abhanhu bha gung’wambilija ulu opandikagaga makoye aha kaya yakwe yiniyo, kunguno ya bhudoshi bhokwe bhunubho ubho guleka guhoya na abhiye, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo osimizaga alangulile bho ugubhagisha abhanhu, kunguno nuweyi agadililaga milimo yakwe duhu bho nduhu uguhoya na bhiye, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhaganhayaga giki, “kalangulaga giti nhana noi.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka gubhadalaha abhanhu bho guhoya nabho chiza umukikalile kabho, kugiki bhadule gwiyambilija chiza, ugujileka ikaya jabho.

Kutoka 20:12.

1Petro 1:17.

Isaya 29:13.

KISWAHILI: KAMERINGA KAMA KWELI MNO.

Hapo zamani alikuwepo mtu aliyeishi katika kijiji cha Ng’watuju. Mtu huyo, alikuwa akitembea akiwa ameangalia juu bila kuwasalimia watu aliokutana nao njiani, kwa sababu ya kutaka kuwahi kufika katika safari yake. Ndiyo maana watu waliongea juu yake kwamba, “kameringa kama kweli mno.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa haongei vizuri na wenzake katika maisha yake. Mtu huyo, hujali shughuli zake kwa kuacha kuongea na watu anaoishi nao, kwa sababu ya majivuno yake hayo, maishani mwake. Yeye hukosa watu wa kumsaidia anapopata matatizo katika familia yake kwa sababu ya kuacha kuongea na wenzake hivyo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyetembea akiwa ameangalia juu bila kuwasalimia wenzake, kwa sababu naye hujali shughuli zake tu bila kuongea na wenzake, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuongelea kwamba, “kameringa kama kweli mno.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha kuwadharau watu wao kwa kuongea nao vizuri katika maisha yao, ili waweze kusaidiana vizuri, katika kuzilea familia zao.

Kutoka 20:12.

1Petro 1:17.

Isaya 29:13.

ENGLISH: ONE IS PROUD AS IF IT IS TOO TRUE.

Once upon a time there was a man who lived in the village of Ng’watuju. Such man used to walk looking upwards without greeting the people whom he met on the way, because he wanted to arrive on time in his journey. That is why people said about him that, “one is proud as if it is too true.”

This saying is related to a person who does not talk well with his colleagues in his life. That person cares about his activities enough to stop talking to people whom he lives with, because of his pride, in his life. He lacks people to help him when he has problems in his family because he stops talking to his colleagues like that, in his life.

This person is similar to the one who walked looking upwards without greeting his colleagues, because he also only cares about his activities without talking to his colleagues, in his life. That is why people talk about him saying, “one is proud as if it is too true.”

This saying teaches people about stopping belittling their people by talking to them well in their lives, so that they can help each other well, in raising their families.

Exodus 20:12.

1 Peter 1:17.

Isaiah 29:13.

man-6900166_1280

peasant-4962831__480

woman-6116276__480

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.