1236. MAMONYONGELE.

Mamonyongele jili jito ja gutumama milimo nulu guyomba mihayo bho sagala sagala. Oho kale olihoyi munhu uyo atumamaga milimo yakwe bho sagala sagala aha kaya yakwe kunguno ya guduma gwitegeleja chiza umumiganiko gakwe. Umunhu ng’wunuyo, agakumuka noyi kunguno ya katumamile kakwe kenako. Hunagwene abhanhu bhagayung’witana giki, “mamonyongele.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo yakwe bho ndugu gwitegeleja chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agalimaga migunda mitale oilekanija duhu kunguno ya kugaiwa witegeleja bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agakelaga bhuli ng’waka aha kaya yakwe kunguno ya gutumama milimo bho nduhu gwiganika bho gwitegeleja chiza, umubhutumami bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo otumamaga milimo bho sagala sagala kunguno nuweyi agatumamaga milimo yakwe bho nduhu ugwitegeleja chiza, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “mamonyongele.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kutumama milimo yabho bho gwiganika na gwitegeleja bhutale, kugiki bhudule gupandika matwajo mingi, umubhutumami bho milimo yabho yiniyo.

Luka 6:46-49.

Matendo ya mitume 17:1-9.

KISWAHILI: HOVYO HOVYO.

Hovyo hovyo ni kitendo cha kufanya kazi au kuongea maneno vibaya. Hapo zamani alikuwepo mtu aliyekuwa akifanya kazi vibaya kwa maana ya kulipua kazi, kwa sababu ya kukosa umakini katika mawazo yake. Mtu huyo, alijulikana sana katika kijiji chake kwa sababu ya namna yake hiyo kufanya kazi vibaya. Ndiyo maana watu walimuita jina la “hovyo hovyo.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi zake bila kuwa na umakini katika maisha yake. Mtu huyo, hulima mashamba makubwa na kuyatelekeza bila kuyatunza kwa sababu ya kufanya kazi kwake bila kuwa na umakini wa kufanya utafiti wa kutosha, maishani mwake. Yeye hukosa chakula kila mwaka katika familia yake hiyo, kwa sababu kufanya kazi zake hizo bila kufikiria kwa umakini zaidi, katika utendaji wake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyefanya kazi zake vibaya, kwa sababu naye hufanya kazi zake bila kufikiria kwa umakini, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita jila la “hovyo hovyo.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kufanya kazi zao kwa umakini wa kufanya utafiti kwanza kabla ya kuzianza, ili waweze kupata mafanikio mengi, katika utekelezaji wa majukumu yao hayo.

Luka 6:46-49.

Matendo ya mitume 17:1-9.

ENGLISH: BADLY BADLY.

Careless is an act of doing things or speaking words badly. Once upon a time there was a man who was doing work badly in the sense of blowing up work, because of lacking focus in his thoughts. This man was well known in his village because of his way of working badly. That is why people called him the name of “badly badly.”

This saying is related to a person who does his work without being focused in his life. Such person cultivates large fields and abandons them without taking care of them because of working without having good attention enough to do research in his life. He lacks food every year in his family because of doing his works without thinking more seriously in his performance.

This person is similar to the one who did his work badly, because he also does his works without thinking seriously in his life. That is why people call him the name of “badly badly.”

This saying teaches people about doing their jobs carefully enough to do research first before starting them, so that they can get a lot of success in carrying out of their duties.

Luke 6:46-49.

Acts 17:1-9.

farmer-6318173__480

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.