Imbuki ya kahayile kenako ilolile munhu uyo wikalaga muchalo jilebhe. Umunhu ng’wunuyo, oliokula bho gwingila mubhunigini wingila mubhutale uyo wilenganijaga na jilatu kunguno abhanhu abhadoni badajizwalaga ijilatu ija bhatale. Jidalatu jinijo jidubhigelelwa kunguno amagulu gabho gatali madoo, ijoyi jigubhihulunguta duhu. Hunagwene agayomba giki, “nabhile jilatu jidazwalagwa bhanigini.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu ntale uyo agitaga miito ga nyatale, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhalangaga kajile ka wiza abhile bho gubhitila miito gi kujo ayo gali ga nyatale kunguno ya likujo lwakwe ilo alinavyo, umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agailelaga chiza ikaya yakwe bho gwikala bhikujije chiza kunguno ya lilange lwakwe ilya wiza linilo, umukikalile kakwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo akagula uyita miito ga nyatale ayo bhaditaga abhanigini, kunguno nuweyi agitaga miito ga ng’watale ayo gagang’winhaga likujo lya guilela chiza ikaya yakwe. Hunagwene agayombaga giki, “nabhile jilatu jidazwalagwa bhanigini.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwita miito gikujo bho guleka ayo galiganyanigini umubhutumami bho milimo yabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.
Kumbukumbu la Torati 32:7.
Waefeso 6:1-4.
KISWAHILI: NIMEKUWA KIATU KISICHOVALIWA WATOTO.
Chanzo cha msemo huo, huangalia mtu aliyeishi kwenye kijiji fulani. Mtu huyo, alikua kwa kutoka katika utoto na kuingia ukubwani, aliyejilinganisha na kiatu kwa sababu watoto hawawezi kuvaa kiatu cha wakubwa. Kiatu hicho kitawapyawa watoto hao kwa sababu miguu yao bado ni midogo. Ndiyo maana alisema kwamba, “nimekuwa kiatu kisichovaliwa watoto.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu mkubwa ambaye hufanya matendo ya yenye busara, katika maisha yake. Mtu huyo, huwafundisha mwenendo mwema wenzake kwa kupitia matendo yake hayo yenye busara kwa sababu ya hekima aliyo nayo, maishani mwake. Yeye hufanikiwa kuilea kwa kuheshimiana vyema familia yake kwa sababu ya malezi yake hayo mema, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyekua akatenda matendo ya yenye busara yasifanywa na watoto, kwa sababu naye hutenda matendo yenye busara ambayo humpatia heshima ya kuilea vyema familia yake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “nimekuwa kiatu kisichovaliwa watoto.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na busara ya kutenda matendo mema kwa kuacha matendo ya kitoto katika kazi zao, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.
Kumbukumbu la Torati 32:7.
Waefeso 6:1-4.
ENGLISH: I HAVE BECOME A SHOE THAT IS NOT WORN BY CHILDREN.
The source of this saying looks at a person who lived in a certain village. Such person grew from childhood to adulthood by comparing himself to a shoe because children cannot wear the shoes of adults. Such shoe will not be given to children because their feet are still small. That is why he said that, “I have become a shoe that is not worn by children.”
This saying is related to a great person who does wise actions in his life. That person teaches good behavior to his colleagues through his wise actions because of his wisdom in life. He succeeds in raising his family members well by respecting each other because of his good upbringing, in his life.
This person is similar to the one who grew up by doing wise deeds which are not done by children, because he also does wise deeds that give him honor of raising his family members well. That is why he says that, “I have become a shoe that is not worn by children.”
This saying teaches people about being wise enough to do good deeds by leaving childish actions in their works, so that they can raise their family members well in their lives.
Deuteronomy 32:7.
Ephesians 6:1-4.
