1107. ILIJISUNVA LYINILI LIGATAMALA.

Akahahile kenako kahoyelile higulya ya lijisunva ilo ligitanagwa ligatamala. Ilijisunva linilo lili guti liyiku ilo lyakula mpaga lyuganamhala ligutumamaga chiza imilimo ya bhanhu. Ilyoi ligikalaga likumukile noyi kunguno ya bulyehu na bhutumami bho milimo lyayo chiza. Hunagwene abhanhu bhagalitanaga giki, “ilijisunva lyinili ligatamala.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhatongelaga chiza abhanbu bhakwe aha kaya yakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhatongelaga abhanhu bho guhoya nabho chiza, kunguno ya bhutogwa bhokwe ukubhanhu bhakwe na bulyehu bhokwe bhunubho, umukitakile kakwe.  Uweyi agikalaga ulanga mihayo ya gutogwa kutumama milimo bho wigulambija bhutale kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga ni liyiku ilitale ilo lyatumama milimo chiza mpaga lyuganamhala, kunguno nuweyi agabhatongelaga chiza abhanhu bhakwe bho gwigulambija gutumama milimo yiniyo chiza, umukikalile kakwe. Hunangwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ilijisunva lyinili ligatamala.”

Akahayile kenako kalanga bhatongeji bha bhanhu higulya ya gwikala chiza na bhanhu bhabho bho gwigulambija kutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule kujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 50:25.

Mwanzo 25:7-8.

KISWAHILI: KIUMBE HIKI KIMEKUA.

Msemo huo, huongelea juu ya kiumbe kilichokua sana kwa maana ya kuishi miaka mingi. Kiumbe kicho, ni kama maskisai wa ng’ombe ambaye amefanya kazi vizuri mpaga akafikia uzeeni. Yeye amejulikana sana katika maeneo hayo kwa sababu ya upole na utendaji mzuri wa kazi kwa watu hao. Ndiyo maana watu husema juu yake kwamba, “kiumbe hiki kimekua.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huongoza vizuri watu walioko kwenye familia yake. Mtu huyo, huwaongoza watu kwa kwa kuongea nao vizuri kwa sababu ya upendo na upole wake alionao kwa watu wake hao, katika maisha yake. Yeye huwafundisha watu maneno yenye busala ya kuwawezesha kujibidisha kufanya kazi zao kwa sababu ya uaminifu wake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule maskini wa ng’ombe aliyefanya kazi vizuri mpaga uzeeni mwake, kwa sababu naye huwaongoza watu katika kujibidisha kufanya kazi vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana watu husema juu yake kwamba, “kiumbe hiki kimekua.”

Msemo huo, hufundisha viongozi wa watu juu ya kuishi vizuri na wenzao kwa kujibidisha kuyatekeleza vizuri majukumu yao, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

Mwanzo 50:25.

Mwanzo 25:7-8.

ENGLISH: THIS CREATURE HAS GROWN.

The above saying talks about a creature that has grown very much in the sense of living many years. This creature is like an ox that has worked well until it reaches old age. He is well known in those areas because of his gentleness and good work performance for those people. That is why people say about him that, “this creature has grown.”

This saying is compared to the person who leads well his family. Such person leads people by talking to them well because of the love and kindness that he has for them. He teaches people wise words enough to empower them in doing their jobs well because of his honesty, in his life.

This person is similar to the ex that worked well to the point reaching his old age, because he also leads people in trying to work well, in his life. That is why people say about him that, “this creature has grown.”

This saying teaches people’s leaders to live well with them by forcing themselves to carry out their duties well, so that they can raise their families well, in their lives.

Genesis 50:25.

Genesis 25:7-8.

father-and-daughter-6585096__480

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.