934. KALAGU – KIZE. NSUMBA O MAGULU MALIHU – KASWALALA.

Ikalagu yiniyo, yilolile kaswalala. Akaswalala kenako ili mbula ndodo iyi igatwajaga makanza malihu ilitina duhu. Imbula yiniyo, igayipandikilaga fulo nhale isi kunguno ya guswalala makanza malihu bho nduhu ugugata. Huna kenako lulu ako abhanhu bhakagitanaga giki, “nsumba o magulu malihu – kaswalala.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo yakwe bho wiyumilija bhutale mpaga oyimala chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga na welwa nholo ubho guitumama imilimo yakwe chiza mpaka oyishisha, kunguno ya bhukamu bhokwe bho guyidililila milimo yiniyo. Uweyi agapandikaga sabho ningi kunguno ya wiyumilija bhokwe ubho bhugang’wambilijaga uguitumama chiza imilimo yakwe yiniyo mpaga uyimala, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na kaswalala ako kagatinaga hado hado bho makanza malihu mpaga kayifuja fulo isi, kunguno nuweyi agatumama milimo yakwe bho wiyumilija bhutale mpaga oimala chiza, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “nsumba o magulu malihu – kaswalala.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumilija bho gwelwa nholo gutumama milimo yabho bho bhudiliji bhutale mpaga bhayimale, kugiki bhadule gupandika, sabho ningi, umuwikaji bhobho.

Yakobo 5:7-11.

KISWAHILI: KITENDAWILI  –  TEGA.

KIJANA MWENYE MIGUU MIREFU – MVUA NDOGO NDOGO.

Kitendawili hicho, huangalia mvua ndogo ndogo. Mvua hiyo, ndogo ndogo ni mvua inayonyesha kigodo kidogo, kwa muda mrefu mpaga inailainisha aridhi. Yenyewe huwa haikatiki mapema. Hiyo ndiyo ile ambayo watu wanayoiita, “kijana mwenye miguu mirefu – mvua ndogo ndogo.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huyatekeleza majukumu yake kwa uvumilivu mkubwa mpaga anayamaliza, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa na moyo wa kuyajali majukumu yake hayo kwa kuyatekeleza vizuri na kwa bidii kubwa. Yeye hupata mali nyingi kwa sababu ya uvumilivu wake huo wa kuyajali majukumu yakwe kwa kuyatekeleza vizuri, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na ile mvua ndogo ndogo ililoilainisha aridhi vizuri, kwa sababu naye hutekeleza majukumu yake kwa moyo wa bidii na uvumilivu mkubwa mpaga anayamaliza, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwita kwamba ni “kijana mwenye miguu mirefu – mvua ndogo ndogo.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwa na moyo wenye bidii na uvumilifu wa kuyatekeleza majukumu yao mpaga mwisho, ili waweze kupata mafanikio ya kuwa na mali nyingi, maishani mwao.

Yakobo 5:7-11.

 

 

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

A YOUNG MAN WITH LONG LEGS – A LITTLE RAIN.

The overhead riddle looks a little rain. This rain is a rain that hails slowly for a long time until it softens the ground. It does not stop raining early. That is what people call it as, “a young man with long legs – a little rain.”

This riddle is compared to the person who performs his duties with great patience and perseverance, in his life. He has courage to take care of his responsibilities by performing them well and with great diligence. He earns a lot of money because of his perseverance in caring for his responsibilities by fulfilling them well, in his life.

This man is like the little rain that softened the ground well, because he also carries out his duties with the heart of diligence and great patience from the beginning to the end, in his life. That is why people call him “a young man with long legs – a little rain.”

This riddle imparts in people an idea on how to have heart of perseverance in carrying out their responsibilities to the end, so that they can have success of having sundry possessions in their lives.

James 5: 7-11.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.