932. KALAGU – KIZE. OLALAGA ALIYO UKUNU ALILOLA SENEMA – JILOTI.

Ijiloti galimiganiko ayo gagizaga umuntwe go ng’wa munhu uyo alalile tulo. Amiganiko genayo, gagantulaga unoti muchalo ijo atiho bho gubhiza guti alilola senema, kunguno agakilaga alihoyi duhu aho alalile. Hunagwene abhanhu bh’gang’wilaga giki “olalaga aliyo ukunu alilola senema – jiloti.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agapandikaga mahano bho nzila ya jiloti. Umunhu ng’wunuyo, alina guzunya gutale ukuli msumbi okwe, uyo agang’wilaga mihayo ya gunhugula uweyi na bhanhu bhakwe. Uweyi agapijiyagwa umumakoye nu Mulungu uyo aganhugula gubhitila mu nzila ya jiloti jinijo, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agalotaga giki alimuchalo jingi aliyo alihaho duhu, aho alalilile, kunguno nuweyi agawilagwa mihayo ya gunhugula gubhitila mu nzila ya jiloti jinijo, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “olalaga aliyo ikunu alilola senema – jiloti.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza na guzunya gutale ukuli Mulungu, kugiki bhadule gugadebha amahano ayo agab’enhelaga gubhitila mu nzila ja jiloti jabho, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 40: 1 -22.

Mwanzo 41: 1-36.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

AMELALA LAKINI HUKU ANAANGALIA SINEMA – NDOTO.

Ndoto ni mawazo ambayo huja kichwani mwa mtu yule aliyelala usingizi. Mawazo hayo, humuweka muotaji huyo kwenye mazingira ya kijiji kile ambacho haupo kwa kuoneka kama anaona senema, kwa sababu yeye hubakia pale alipo lala tu. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “amelala lakini huku anaangalia sinema – ndoto.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hupata maono kwa njia ya ndoto. Mtu huyo, ana imani kubwa kwa Muumba wake ambaye humwambia maneno ya kumuonya yeye na watu wake. Yeye huepupushwa na matatizo mbalimbali na Mungu kupitia njia hiyo ya ndoto hizo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aotaye kwamba yuko kwenye kijiji kingine wakati yupo pale tu, alipo lala usingizi huo, kwa sababu naye huambiwa maneno ya kumuonya kwa njia hiyo ya ndoto. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “amelala lakini huku anaangalia sinema – ndoto.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwa na imani kubwa kwa Mungu, ili waweze kuyaelewa maono anayowaletea kupitia njia hiyo ya ndoto, maishani mwao.

Mwanzo 40: 1 -22.

Mwanzo 41: 1-36.

bank-hunger

television-

 

woman-11

 

ENGLISH: I HAVE RIDDLE – LET IT COME.

ONE HAS SLEPT BUT WHILE WATCHING A MOVIE – A DREAM.

Dreams are thoughts that come to the mind of the sleeping person. They, however, put the dreamer in the context of being in a village where he/she does not exist. It appears as a watching movie time to the dreamer, because he/she stays where he/she is sleeping. That is why people tell such dreamer that, “one has slept while watching a movie – a dream.”

This riddle is likened to the person who receives a vision through a dream. Such person has strong faith in his Creator, who speaks words of warning for him and his people. He is awakened by various problems with God tell him through the same means of those dreams, in his life.

This person is like the one who dreams that he is in another village while he is just there sleeping, because he is also told words that warn him in his dreams by God. That is why people tell him that, “one has slept while watching a movie – a dream.”

This riddle teaches people on how to have great faith in God, so that they can understand the vision which He grings to them through dreams in their lives.

Genesis 40: 1-22.

Genesis 41: 1-36.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.